-
Serikali ya China yafunga misikiti mitatu katika mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa nchi
Jan 02, 2019 23:41Vyombo vya habari vya Hong Kong vimetangza kuwa serikali ya China imeifunga miisikiti mitatu katika mkoa wa Yunnan ulioko kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Iran: Kuwepo Marekani katika Ghuba ya Uajemi kunasababisha wasiwasi na mivutano
Dec 29, 2018 12:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Tokea awali sisi tumekuwa tukiamini kwamba kuwepo Marekani katika Ghuba ya Uajemi, mbali na kuwa ni kinyume cha sheria lakini pia kunasababisha hali ya wasiwasi na mivutano."
-
Guterres atahadharisha kuhusu vitisho vya mfumo wa kambi kadhaa
Dec 18, 2018 03:15Baada ya kusambaratika Urusi ya zamani na kumalizika kipindi cha Vita Baridi hapo mwaka 1991 mfumo wa kambi mbili za Mashariki na Magharibi pia ulitoweka na kumalizika.
-
Wasiwasi wa kuongezeka misaada ya Magharibi kwa magaidi wa Syria
Dec 15, 2018 02:55Tangu mwaka 2011 yalipoanzishwa machafuko nchini Syria hadi hivi sasa, nchi za Magharibi hasa Marekani, Uingereza na Ufaransa pamoja na vibaraka wao baadhi ya nchi za Kiarabu zimekuwa zikiyaunga mkono kwa hali na mali magenge ya kigaidi kwa tamaa ya kuipindua serikali iliyoko madarakani kihalali nchini Syria.
-
Marekani yachukua mateka katika vita vyake vya kibiashara na China
Dec 12, 2018 22:58Baada ya Donald Trump kuingia madarakani kama rais wa Marekani Januari mwaka 2017, amekuwa akifuatilia sera hasimu na zenye utata kuhusu China na hivyo kuwaibulia wakuu wa China changamoto kadhaa. Moja ya sera ambazo Trump ametekeleza ni kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa kutoka China na kwa njia hiyo kutangaza rasmi vita vya kibiashara dhidi ya China.
-
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone
Dec 12, 2018 09:02Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.
-
Askari wa China watumwa Sudan kulinda amani
Dec 11, 2018 12:04Askari 100 wa kulinda amani wa China wameondoka Jumanne ya leo Beijing kuelekea Darfur, nchini Sudan kwa ajili ya majukumu ya kulinda amani kwa kipindi cha mwaka mmoja katika kikosi cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika (UNAMID).
-
China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei
Dec 09, 2018 03:51Serikali ya China imetoa onyo kali na kuitaka Canada imuachie huru mara moja mkuu wa shirika kubwa la mawasiliano la Huawei na isithubutu kumkabidhi kwa wakuu wa mahakama za Marekani.
-
Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China
Dec 08, 2018 23:22Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani.
-
Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa
Dec 08, 2018 12:07Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.