-
Makumi wauawa katika mripuko kwenye kiwanda cha kemikali China
Nov 28, 2018 04:10Kwa akali watu 22 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya kutokea mripuko karibu na kiwanda cha kemikali katika mji wa Zhangjiakou, mkoani Hebei kaskazini mwa China.
-
Marekani yatishia kuanzisha Vita Baridi dhidi ya China
Nov 15, 2018 03:40Wakati mivutano ya kibiashara kati ya Marekani na China inazidi kupamba moto, Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence ameoinya China kuhusu uwezekano wa kutokea Vita Baridi baina ya pande mbili.
-
Mpango wa China na Russia wa kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani
Nov 09, 2018 23:09Mawaziri Wakuu wa China na Russia wamesisitiza juu ya azma ya nchi mbili ya kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani katika ngazi za kimataifa.
-
Mawaziri Wakuu wa China na Russia waazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani
Nov 09, 2018 10:54Mawaziri Wakuu wa China na Russia wameazimia kukabiliana na siasa za upande mmoja za Marekani duniani.
-
Trump atishia tena kuziwekea ushuru zaidi bidhaa za China
Oct 30, 2018 11:12Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kwamba iwapo hakutofikiwa mwafaka na China, basi ataziwekea ushuru mwingine wa mamia ya mabilioni ya Dola, bidhaa za China zinazoingizwa nchi hiyo.
-
Mwanamke ashambulia wanafunzi wa shule ya chekechea kwa kisu China
Oct 26, 2018 10:27Mwanamke aliyekuwa amejizatiti kwa kisu amevamia shule moja ya chekechea nchini China na kujeruhi watoto 14 miongoni mwa wanafunzi wa shule hiyo.
-
Malengo halisi ya Marekani ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati
Oct 23, 2018 09:46Tangazo la Marekani la kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati lililotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo limekabiliwa na radiamali nyingi hasi katika uga wa kimataifa.
-
Licha ya kiburi cha Trump; Marekani ina deni kubwa zaidi la China
Oct 17, 2018 23:47Wizara ya Hazina ya Marekani imesema kuwa, nchi inayoidai fedha nyingi zaidi Marekani ni China.
-
Tuhuma na maneno makali ya Trump dhidi ya China
Oct 16, 2018 03:58Uhusiano wa Marekani na China umekumbwa na misukosuko na panda shuka mbalimbali baada ya kuingia madarakani Donald Trump huko Marekani. Washington na Beijing zinahitilafiana katika masuala mengi ya kisiasa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kiistratijia.
-
Beijing yaitahadharisha Washington ijiepushe kutumia vibaya suala la haki za binadamu
Oct 13, 2018 21:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Washington itazame upya matatizo makubwa ya haki za binadamu yanayoisibu Marekani na wakati huo huo iache kutumia vibaya suala hilo kwa ajili ya kuingia masuala ya ndani ya nchi nyingine.