-
Makubaliano ya China na Korea Kusini kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea
Nov 02, 2017 06:01Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kufikiwa makubaliano kati ya nchi hiyo na Korea Kusini kwa ajili ya kupanua mahusiano ya pande mbili sambamba na kutatuliwa mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea kupitia udiplomasia.
-
Meli za kivita za China, Russia zaanza mazoezi karibu na Korea Kaskazini
Sep 18, 2017 09:46Meli za kivita za China na Russia zimeanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi karibu na Korea Kaskazini huku kukiwa na wasiwasi kuwa mvutano baina ya Marekani na Korea Kaskazini unaweza kugeuka na kuwa makabiliano ya ana kwa ana ya kijeshi.
-
China yazalisha kombora la mabara aina ya Julang-3, kujiandaa na vita na Marekani
Aug 20, 2017 12:05Katika kuongeza uwezo wa kijeshi, serikali ya China imeendelea kuzalisha na kustawisha kombora la mabara la kizazi kipya kwa jina la Julang-3, ambalo limetajwa kuwa ni maandalizi ya kuingia katika vita tarajiwa na Marekani.
-
Onyo la China juu ya uwezekano wa Marekani kuishambulia Korea Kaskazini
Aug 13, 2017 23:03Gazeti moja muhimu la chama tawala nchini China limeionya Marekani na Korea Kusini juu ya vitisho vyao vya kutaka kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini na kusema kuwa, ikiwa maslahi ya China yataingia hatarini kwa vita hivyo tarajiwa, basi bila shaka yoyote nayo itakabiliana na nchi hizo.
-
Radiamali ya China kwa vikwazo vya UNSC dhidi ya Korea Kaskazini
Aug 09, 2017 07:07Serikali ya China imetangaza kuwa, azimio jipya la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini, havitakiwi viathiri uchumi wa nchi hiyo.
-
Zaidi ya watu 100 wahofiwa kuaga dunia katika zilzala nchini China
Aug 09, 2017 02:48Serikali ya China imetangaza kuwa ina wasi wasi watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha yao katika mkasa wa mtetemeko wa ardhi ulioukumba mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa nchi hiyo ya Asia.
-
China: Vikwazo vipya vya UNSC dhidi ya Korea Kaskazini visiathiri uchumi
Aug 08, 2017 10:18Serikali ya China imetangaza kuwa, azimio jipya la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini, havitakiwi viathiri uchumi wa nchi hiyo.
-
China kuisaidia Gambia baada ya kukata uhusiano na Taiwan
Aug 02, 2017 03:40China imeahidi kuipa msaada Gambia baada ya nchi hiyo ya Kiafrika kukata uhusiano rasmi na serikali tya Taiwan.
-
Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic
Jul 27, 2017 03:01Maneva ya kijeshi ya baharini kati ya Russia na China yalianza siku ya Jumanne ya tarehe 25 mwezi huu katika maji ya bahari ya Baltic.
-
Waziri wa Ulinzi India: China na Pakistan zinajiandaa kutushambulia
Jul 21, 2017 03:22Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini India amesema kuwa, serikali ya Pakistan na China ambazo ni washindani wakubwa na hatari sana wa New Delhi, zinajiandaa kufanya shambulizi dhidi ya nchi hiyo.