-
Kukosoa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Mar 12, 2023 12:12Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani.
-
Malaysia: Chuki dhidi ya Uislamu inapaswa kujinaishwa
Feb 04, 2023 07:21Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa Malaysia ametoa mwito wa kujinaishwa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Kisingizio cha Sweden cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu; chuki dhidi ya Uislamu nyuma ya pazia la uhuru wa kusema
Jan 24, 2023 02:51Tobias Billstrom, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sweden ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter akitoa radiamali ya hatua ya mataifa mbalimbali ya dunia ya kukosoa kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu wa Qur'ani.
-
Utafiti: Mitazamo hasi dhidi ya Waislamu inaenea kwa kasi Ujerumani
Oct 06, 2022 06:59Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
-
India yaipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo
Sep 29, 2022 12:09India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
-
Kupenda vita Marekani duniani; urithi wa tukio la Septemba 11
Sep 12, 2022 08:21Jumapili ya jana tarehe 11 Septemba ilisadifiana na kutimia miaka 21 tangu kutokea mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 ambapo hadi sasa Marekani ingali imeshughulishwa na matokeo ya tukio hili lenye kuainisha hatima.
-
Mkusanyiko wa kulalamikia kufukuzwa nchini Ufaransa Imam wa Swala ya Jamaa
Sep 06, 2022 10:33Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea.
-
Kesi za kushambuliwa Waislamu nchini Austria zaongezeka
Aug 14, 2022 07:21Jinai za kushambuliwa Waislamu kwa misingi ya dini yao zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Austria.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Hujuma za chuki dhidi ya Waislamu Canada zaongezeka kwa 71%
Aug 05, 2022 10:52Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Canada.