-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 02:29Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Hujuma za chuki dhidi ya Waislamu Canada zaongezeka kwa 71%
Aug 05, 2022 06:22Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Canada.
-
Iran yaonya kuhusu kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu duniani
Jun 20, 2022 22:52Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa indhari kuhusu kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Wanazuoni wa Kiislamu wataka sheria ya kupiga marufuku kutukanwa matukufu ya kidini
Jun 19, 2022 23:50Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa mwito wa kupasishwa sheria ya kujinaisha na kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya dini mbalimbali duniani.
-
Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu
Jun 11, 2022 05:49Wanazuoni wa Kiislamu nchini Uingereza wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" yenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini
Jun 08, 2022 06:20Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 19, 2022 23:13Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.
-
UN yaitangaza Machi 15 Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 16, 2022 04:02Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la "Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamopohobia).
-
Tamasha la sanaa Ufaransa lafutiwa ruzuku kwa mchoro wa hijabu
Jan 30, 2022 04:31Serikali ya jimbo la Auvergne-Rhone-Alpes nchini Ufaransa imelisimamishia ruzuku kundi moja la wasanii wanaoandaa tamasha la sanaa mjini Grenoble, kwa kujumuisha mchoro wa mwanamke aliyevaa hijabu katika kazi zao.
-
Barua za chuki dhidi ya Uislamu zasambazwa misikitini Uholanzi
Jan 04, 2022 04:29Wakfu wa Dini Uholanzi umelaani vikali kitendo cha kusambazwa barua zenye jumbe za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika misikiti kadhaa ya nchi hiyo ya Ulaya.