Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Daesh hawana njia isipokuwa kujisalimisha au kuuliwa

    Waziri Mkuu wa Iraq: Daesh hawana njia isipokuwa kujisalimisha au kuuliwa

    Mar 07, 2017 23:49

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh hawana njia nyingine isipokuwa kujisalimisha au kuuawa.

  • Jengo la redio ya genge la Daesh, Mosul ladhibitiwa na jeshi la Iraq

    Jengo la redio ya genge la Daesh, Mosul ladhibitiwa na jeshi la Iraq

    Mar 04, 2017 12:34

    Habari kutoka mkoa wa Nainawa (Nineveh) nchini Iraq zinaarifu kwamba jeshi la nchi hiyo limedhibiti jengo la redio ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh kwa jina la al-Bayan.

  • Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul

    Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul

    Mar 03, 2017 00:49

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetumia silaha zenye gesi ya sumu katika kulizuia jeshi la Iraq kusonga mbele katika maeneo yaliyosalia.

  • Hatimaye kinara wa Daesh akiri kushindwa nchini Iraq, awataka wafuasi wake kukimbilia milimani

    Hatimaye kinara wa Daesh akiri kushindwa nchini Iraq, awataka wafuasi wake kukimbilia milimani

    Mar 01, 2017 01:10

    Kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ametoa hotuba ya mwisho akikiri kushindwa kundi hilo nchini Iraq na amewataka wafuafi wake kukimbilia maeneo ya milimani kwa usalama wao au kujiripua.

  • Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Feb 25, 2017 10:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitizia uepo wa ushirikiano baina ya nchi yake na serikali ya Iraq katika kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Feb 25, 2017 03:47

    Russia imetangaza kuwa, itatumia kura ya veto kupinga vikwazo vya aina yoyote ile vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Syria kwa madai kwamba nchi hiyo imetumia silaha za kemikali.

  • HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    Feb 20, 2017 12:30

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.

  • Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh

    Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh

    Feb 18, 2017 12:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kuwa haitowezekana kulishinda kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq pasina kuwa na njia ya ufumbuzi wa kisiasa jumuishi na wa pande zote.

  • Saudi Arabia: Tumesambaratisha genge la lililokuwa na mfungamano na Daesh huko Makkah na Madina

    Saudi Arabia: Tumesambaratisha genge la lililokuwa na mfungamano na Daesh huko Makkah na Madina

    Feb 17, 2017 00:58

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kusambaratisha mtandao wa kigaidi wenye mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika maeneo tofauti ya nchi hiyo, ikiwemo miji mitukufu ya Makkah na Madinad.

  • Iran yawakamata magaidi wa ISIS karibu na Tehran

    Iran yawakamata magaidi wa ISIS karibu na Tehran

    Feb 11, 2017 10:36

    Iran imewakamata wafuasi wa kundi kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji mkuu Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS