-
Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi
Feb 07, 2017 11:25Rais Bashar al-Assad wa Syria ameutaja muungano wa kijeshi wa Marekani unaodai kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS nchini Syria kuwa ni muungano wa kinjozi na wa kuihadaa dunia.
-
Wanachama watatu wa Daesh watiwa mbaroni Morocco
Feb 07, 2017 04:13Askari usalama wa Morocco wamewatia mbaroni wanachama watatu wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Kukaribia kushindwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Iraq
Feb 04, 2017 03:19Yan Kubish, Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, kushindwa kikamilifu kundi la kigaii la Daesh kumekaribia na kwamba msaada wa jamii ya kimataifa kwa Wairaki, baada ya kushindwa kundi hilo ni suala muhimu sana.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa ISIS wamezingirwa kikamilifu mjini Mosul
Feb 04, 2017 00:58Msemaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi nchini Iraq amesema kuwa, wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji wa Daesh (ISIS) wamezingirwa kikamilifu katika eneo la magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.
-
Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai
Feb 01, 2017 04:08Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limedai kwamba limeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri kaskazini mwa eneo la Sinai.
-
Nouri al-Maliki: Kundi la ISIS ni mzawa wa serikali ya Barack Obama
Jan 19, 2017 10:34Nouri al-Maliki, Mkuu wa Muungano wa Utawala wa sheria na makamu wa rais wa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh, ni mzaliwa wa serikali ya Rais Barack Obama wa Marekani anayeondoka madarakani.
-
Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh
Jan 17, 2017 03:38Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.
-
Mkuu wa OSCE: Maelfu ya raia wa nchi za Ulaya wamejiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria
Jan 14, 2017 09:54Mwenyekiti wa Shirika la Usalama na Ushirikiano wa Ulaya (OSCE) amesema kuwa, karibu raia elfu kumi wa nchi za bara hilo wanashirikiana na kundi la kigaidi la Daesh katika nchi za Syria na Iraq.
-
Majengo kadhaa ya serikali mjini Mosul yakombolewa kikamilifu na jeshi la Iraq
Jan 13, 2017 11:14Jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya kujitolea ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi limefanikiwa kukomboa majengo ya serikali ikiwemo ofisi ya gavana na makao makuu ya serikali mjini Mosul, mkoani Nainawa (Nineveh)
-
Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah
Jan 13, 2017 00:43Jeshi la Syria limetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mezzah ulioko magharibi mwa mji wa Damascus na kuutahadharisha utawala huo kuhusu taathira mbaya za shambulizi hilo.