-
Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq
Jan 10, 2017 01:19Kamanda wa operesheni ya kukomboa mji wa Mosul uliokuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq amesema kuwa magaidi wasiopungua 200 wa kundi hilo wameangamizwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Iraq jana Jumatatu katika mji huo.
-
Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul
Jan 08, 2017 04:10Kamanda wa operesheni za kuukomboa mkoa wa Nainawa (Nineve) kaskazini mwa Iraq, amesema kuwa, genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limeripua upande wa kulia wa daraja la Mto Tigris linalouonganisha mji wa Mosul na maeneo mengine.
-
Marekani: Tulianzisha ISIS ili kumpindua Bashar al Assad
Jan 07, 2017 12:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri kuwa lengo lao kuu la kuanzisha genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ni kuipindua serikali ya Rais Bashar al Assad wa Syria. Amesema, Washington iliruhusu kuanzishwa kundi la ISIS ili kufanikisha jambo hilo.
-
Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria
Jan 06, 2017 23:49Mapigano yamezuka baina ya magenge ya kigaidi ya ISIS (Daesh) na Jabhat al Nusra (Fat'h al Sham) katika kambi ya wakimbizi ya Yarmouk, kusini mwa Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Maji yamfika shingoni Abubakar al-Baghdadi, ateua warithi wake
Jan 05, 2017 12:40Kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abubakr al-Baghdadi ameteua watu watatu ambao wanatazamiwa kuchukua nafasi yake.
-
Magaidi 250 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa mji wa Mosul Iraq
Jan 05, 2017 04:23Kamanda wa vikosi vya radiamali ya haraka vya Iraq jana usiku alitangaza habari ya kuangamziwa magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh wasiopungua 250 katika muda wa masaa 24 yaliyopita. Magaidi hao waliuawa katika oparesheni ya kuyakomboa maeneo ya mashariki mwa mji wa Mosul.
-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 10:21Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Mamia ya matakfiri wanaorejea Tunisia wakamatwa
Dec 31, 2016 03:57Msemaji wa serikali ya Tunisia ametangaza habari ya kukamatwa mamia ya matakfiri wanaorejea nchini humo kutoka eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kundi la Daesh limetishia tena kuishambulia Russia
Dec 21, 2016 10:59Kundi la kigaidi la Daesh limetuma ujumbe na kutishia kuzishambulia balozi za Russia kote ulimwenguni.
-
Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia
Dec 15, 2016 00:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema serikali za nchi za Magharibi zinawapa himaya na kuwakingia kifua magaidi wanaofanya jinai nchini humo na wala hazijali hali ya raia wa kawaida wa nchi hiyo.