-
Daesh wazidi kupata pigo Iraq, watega mabomu ndani ya Qur'ani karibu na Mosul
Dec 07, 2016 00:26Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wameanza tena kutega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu na kuziacha mabarabarani na nje ya majumba katika kijiji cha Kanous, karibu na mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Viongozi wa kundi la Daesh watoroka mji wa Mosul
Dec 06, 2016 04:14Vyombo vya kuaminika katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq vimeripoti kuwa, makamanda wa kundi la Daesh akiwemo kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakar al Baghdadi, wameukimbia mji wa Mosul na kuelekea katika maeneo ya mpaka wa Iraq na Syria.
-
Jeshi la serikali Libya ladhibiti kikamilifu mji wa Sirte
Dec 06, 2016 00:07Vikosi vya jeshi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya vinaudhibiti kikamilifu mji wa Sirte kaskazini mwa Libya.
-
Makumi ya raia waokolewa kutoka mikononi mwa magaidi nchini Libya
Dec 04, 2016 03:57Habari kutoka nchini Libya zinasema kuwa, jeshi la serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo limefanikiwa kuwaokoa makumi ya raia waliokuwa wametekwa nyara na genge la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh mjini Sirte.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Ushindi dhidi ya DAESH unakaribia
Dec 03, 2016 04:21Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesema, kutokana na kusonga mbele vikosi vya pamoja vya nchi hiyo katika pande zote za medani ya vita kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la kitakfiri na Daesh, ushindi wa jeshi la nchi hiyo uko karibu mno kupatikana.
-
Marekani yakiri kuua makumi ya raia Iraq na Syria
Dec 02, 2016 00:51Jeshi la Marekani limetoa taarifa na kukiri kuwa, muungano unaodaiwa kupambana na genge la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Washington umeua makumi ya raia katika kipindi cha tarehe 31 Machi hadi 22 Oktoba mwaka huu huko Iraq na Syria.
-
SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
Nov 30, 2016 14:45Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.
-
Utumiaji wa silaha za kemikali kundi la Daesh na udharura wa Magharibi kujibu suala hilo
Nov 30, 2016 04:48Alireza Jahangiri Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) alisema jana huko The Hague Uholanzi kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi ya Daesh na Jabhatul Nusra ambazo zinafanikisha upatikanaji wa silaha za kemikali kwa makundi hayo ili yazitumie dhidi ya raia wasio na hatia, ni lazima zitoa majibu kuhusiana na hatua zake hizo.
-
Iran yamuangamiza mmoja wa vinara wa ISIS mpakani
Nov 29, 2016 03:47Vikosi vya usalama vya Iran vimefanikiwa kumuangamiza mmoja kati ya vinara wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) katika eneo la mpakani.
-
Ripoti: Genge la Daesh linawashikilia Mayazidi 3500 wa Iraq
Nov 25, 2016 04:28Kiongozi wa ofisi ya kufuatilia masuala ya raia wa Iraq wa kabila la Yazidi amesema kuwa, hadi sasa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wanawashikilia mateka watu wa kabila hilo wapatao 3500.