Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Malaysia: Makumi ya raia waliojiunga na ISIS wameuawa na magaidi wenzao

    Malaysia: Makumi ya raia waliojiunga na ISIS wameuawa na magaidi wenzao

    Nov 25, 2016 01:27

    Khalid Abubakar, Kamanda wa Upelelezi wa jeshi la Polisi nchini Malaysia amesema kuwa, zaidi ya raia 50 wa nchi hiyo waliokuwa wamejiunga na kundi la ukufurishaji la Daesh wameuawa na wanachama wa genge hilo.

  •  Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ulazima wa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi muhimu katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ulazima wa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi muhimu katika matukio ya Mashariki ya Kati

    Nov 23, 2016 08:54

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran daima imekuwa ikitoa wito kwa nchi zenye misimamo huru kuwa na nafasi amilifu katika kukabiliana na mashinikizo dhidi ya mataifa na inayataka yasikae kimya na kuwa watazamaji tu wa matukio hayo.

  • Jaafari: Thuluthi moja ya Mosul imekombolewa na vikosi vya Iraq

    Jaafari: Thuluthi moja ya Mosul imekombolewa na vikosi vya Iraq

    Nov 22, 2016 04:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema jeshi la nchi hiyo likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi vimefanikiwa kukomboa thuluthi moja ya mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Daesh wachinja wanazuoni wawili wa Kisuni nchini Misri

    Daesh wachinja wanazuoni wawili wa Kisuni nchini Misri

    Nov 21, 2016 04:11

    Hisia tofauti zimeendelea kutolewa kwenye mitandao ya kijamii baada ya wafuasi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS kusambaza picha za wanazuoni wawili wa Kisuni waliowachinja kwa kuwakata vichwa katika eneo la Sinai.

  • Al Abadi: Wanajeshi wa Iraq wamo ndani ya mji wa Mosul hivi sasa

    Al Abadi: Wanajeshi wa Iraq wamo ndani ya mji wa Mosul hivi sasa

    Nov 16, 2016 04:15

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wameshaingia katika mji wa Mosul na hivi sasa wanapambana na magaidi wa Daesh ndani ya mji huo.

  • HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    Nov 12, 2016 04:20

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanatumia silaha za kemikali kaskazini mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

  • UN: Daesh imeua makumi ya raia eneo la Hammam al-Alil, Iraq

    UN: Daesh imeua makumi ya raia eneo la Hammam al-Alil, Iraq

    Nov 12, 2016 00:37

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limeua kwa umati makumi ya raia wa Iraq katika eneo la Hammam al-Alil lililoko kilomita 17 kutoka kwenye mji unaozingirwa na vikosi vya jeshi la Iraq wa Mosul.

  • Putin: Syria ni uwanja wa kudhihirisha azma ya dunia ya kupambana na ugaidi

    Putin: Syria ni uwanja wa kudhihirisha azma ya dunia ya kupambana na ugaidi

    Nov 10, 2016 03:35

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, Syria ni medani ya kuonesha azma na ustahiki wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

  • Manowari za Russia kushambulia magaidi Aleppo, Syria

    Manowari za Russia kushambulia magaidi Aleppo, Syria

    Nov 09, 2016 04:37

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema hii leo vikosi vyake vya majini vitaanzisha operesheni kali ya kuangamiza magaidi katika mji wa Aleppo nchini Syria.

  • Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq

    Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq

    Nov 08, 2016 04:15

    Vikosi vya serikali ya Iraq vimegundua kaburi la umati karibu na mji wa Mosul ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi hivyo na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS