Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Nov 08, 2016 03:48

    Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.

  • Makumi ya maelfu ya watu waukimbia mkoa wa Nainawa, Iraq

    Makumi ya maelfu ya watu waukimbia mkoa wa Nainawa, Iraq

    Nov 05, 2016 23:14

    Kamati ya Wahajiri ya Bunge la Iraq imetangaza kuwa, karibu watu 29 elfu wameukimbia mkoa wa Nainawa tangu ilipoanza operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa huo.

  • Jeshi la Iraq lakomboa wafungwa 45 mikononi mwa Daesh Mosul, makumi ya magaidi waangamizwa

    Jeshi la Iraq lakomboa wafungwa 45 mikononi mwa Daesh Mosul, makumi ya magaidi waangamizwa

    Nov 05, 2016 09:15

    Kamanda wa jeshi la Iraq katika mkoa wa Nainawa (Nineve) nchini Iraq, ametangaza kuwa jeshi la serikali kwa kushirikiana na harakati ya wananchi, limefanikiwa kuwakomboa wafungwa 45 waliokuwa wakishikiliwa na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) magharibi mwa Mosul.

  • Russia: Marekani inalenga makazi ya raia Mosul, Iraq

    Russia: Marekani inalenga makazi ya raia Mosul, Iraq

    Nov 04, 2016 01:07

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa mashambulizi ya ndege za kivita za Marekani na washirika wake yanalenga zaidi makazi ya raia katika mji wa Mosul nchini Iraq.

  • Johnson: Magaidi 130 wa Uingereza wameuawa nchini Syria

    Johnson: Magaidi 130 wa Uingereza wameuawa nchini Syria

    Nov 04, 2016 00:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa, raia 130 wa nchi hiyo wanachama katika kundi la kigaidi la Daesh wameuawa nchini Syria.

  • Jeshi la Iraq: Hadi sasa tumeua magaidi wa Daesh zaidi ya 900 huko Mosul

    Jeshi la Iraq: Hadi sasa tumeua magaidi wa Daesh zaidi ya 900 huko Mosul

    Oct 31, 2016 01:13

    Wizara ya Ulinzi nchini Iraq imetangaza kuwa, kwa akali magaidi 910 wakufurishaji wa kiwahabi wa genge la Daesh (ISIS) wameangamizwa katika operesheni za kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa kundi hilo.

  • Magaidi 500 wauawa, 1000 wajeruhiwa Aleppo chini ya masaa 24

    Magaidi 500 wauawa, 1000 wajeruhiwa Aleppo chini ya masaa 24

    Oct 30, 2016 03:43

    Mamia ya magaidi wameangamizwa na jeshi la Syria likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi mjini Aleppo, kusini mashariki mwa nchi, chini ya masaa 24 yaliyopita.

  • Maadui wa ash-Shabab waondoka katika mji waliouteka Somalia

    Maadui wa ash-Shabab waondoka katika mji waliouteka Somalia

    Oct 28, 2016 00:45

    Wanachama wa kundi lenye mafungamano na genge la kigaidi la Daesh, wameondoka katika eneo waliloliteka hivi karibuni la Qandala kaskazini mashariki mwa Somalia.

  • Seneta wa Marekani afichua uhusiano wa Washington na Daesh

    Seneta wa Marekani afichua uhusiano wa Washington na Daesh

    Oct 26, 2016 11:30

    Seneta mmoja wa chama cha Republican nchini Marekani amesema uhusiano kati ya Washington na kundi la kigaidi la Daesh umechangia kusambaratisha usalama na utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • UN: DAESH wamewaua kinyama raia wengi wa mji wa Mosul

    UN: DAESH wamewaua kinyama raia wengi wa mji wa Mosul

    Oct 26, 2016 01:08

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa umepokea ripoti kadhaa zinazoonyesha kuwa, sambamba na vikosi vya jeshi la Iraq kukaribia mji wa Mosul kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua makumi ya watu wakiwemo maafisa 50 wa polisi ya Iraq ambao wameuliwa kinyama na magaidi wa kundi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS