Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo

    Oct 21, 2016 10:23

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanawazuia raia kuugura mji wa Aleppo, ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya serikali na magenge ya kigaidi.

  • Mufti wa Syria awataka magaidi kujisalimisha huko Aleppo

    Mufti wa Syria awataka magaidi kujisalimisha huko Aleppo

    Oct 21, 2016 01:12

    Mufti wa Syria amewataka magaidi walioko nchini humo kujisalimisha wenyewe kabla ya kuanza operesheni kubwa na ya pande zote ya jeshi la nchi hiyo ya kukomboa kikamilifu maeneo yote ya mji huo.

  • Jeshi la Libya lasonga mbele Sirte, magaidi wa Daesh waendelea kupigwa

    Jeshi la Libya lasonga mbele Sirte, magaidi wa Daesh waendelea kupigwa

    Oct 21, 2016 00:29

    Jeshi la Libya linaloiunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa limesonga mbele zaidi katika mji wa Sirte unaotambuliwa kuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.

  • Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria

    Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria

    Oct 20, 2016 00:34

    Russia imeionya Marekani dhidi ya kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutoka Iraq hadi Syria, katika mashambulizi yake ya kuukomboa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.

  • Iraq: Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, wafadhili wa Daesh

    Iraq: Nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, wafadhili wa Daesh

    Oct 18, 2016 03:38

    Waziri Mkuu wa Iraq amesema nchi kadhaa za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi zinaliunga mkono na kulifadhili kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, linalofanya jinai za kutisha nchini humo na Syria.

  • Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh

    Marekani, Saudia, Israel ni waungaji mkono wa magaidi wa Daesh

    Oct 17, 2016 23:40

    Kamanda wa ngazi za juu wa jeshi nchini Syria amesema, kuna ushahidi wa kutosha kuwa Marekani, Saudi Arabia na Israel ni waungaji mkono wakuu wa magaidi wa ISIS (Daesh) huko Syria na Iraq.

  • Magaidi zaidi waangamizwa katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq

    Magaidi zaidi waangamizwa katika mkoa wa Salahuddin nchini Iraq

    Oct 17, 2016 12:23

    Jeshi la Iraq limetangaza habari ya kushadidisha mashambulizi yake katika mkoa wa Salahuddin wa kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya

    Mgogoro wa kisiasa waongezeka nchini Libya

    Oct 17, 2016 12:20

    Taasisi ya kulinda usalama iliyoko chini ya amri ya baraza la uongozi wa Libya imetangaza kujitenga na baraza hilo.

  • Mufti wa Misri awaambia Wamagharibi: Daesh si

    Mufti wa Misri awaambia Wamagharibi: Daesh si "Dola la Kiislamu"

    Oct 06, 2016 12:17

    Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la Daesh.

  • Mkuu wa Daesh taabani baada ya kupewa sumu

    Mkuu wa Daesh taabani baada ya kupewa sumu

    Oct 05, 2016 11:23

    Mkuu wa kundi la kigiaid la ISIS (Daesh), Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abu Bakr al-Bahgdadi, ameripotiwa kuwa katika hali mbaya ya kiafya baada ya kuwekewa sumu katika chakula chake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS