-
Waziri Mkuu wa Iraq: Zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa Daesh zinakaribia
Oct 04, 2016 22:55Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amewaambia watu wa mji wa Mosul kuwa zama za kuondokana na udhalimu na ukatili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh zinakaribia.
-
Genge la wanawake wenye uhusiano na Daesh watiwa mbaroni Morocco
Oct 03, 2016 23:27Duru rasmi nchini Moroco zimearifu habari ya kutiwa mbaroni wanawake kumi wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh ambao walikuwa na lengo la kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa nchini humo.
-
Kinara wa ISIS (Daesh) mahututi baada ya kupewa 'sumu' Iraq
Oct 03, 2016 11:32Kinara wa kundi la kitakfiri na kigaidi la ISIS (Daesh), Ibrahim al Sammarai, maarufu kama Abu Bakr al-Baghdadi, amepewa sumu akiwa pamoja na makamanda wengine wa kundi hilo katili.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 10:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Morocco yaangamiza kundi la kigaidi linalofungamana na ISIS
Sep 07, 2016 23:27Wakuu wa Morocco wametangaza kufanikiwa kuangamiza kundi moja la kigaidi nchini humo.
-
Wanachama wanne wa Daesh watiwa mbaroni Somalia
Sep 05, 2016 09:32Wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wametiwa mbaroni kusini mwa Somalia.
-
'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'
Sep 01, 2016 11:08Mwanaharakati mmoja wa Misri amesema kuwa, Syria ni katika mataifa ya kujivunia ya ulimwengu wa Kiislamu na kujilinda na kusimama kidete nchi hiyo ni heshima kwa umma wa Kiislamu.
-
Padri nchini Indonesia anusurika kuuawa na mwanachama wa Daesh
Aug 29, 2016 10:11Polisi ya Indonesia imetangaza habari ya kunusurika kuuawa padri mmoja wa nchi hiyo kutokana na hujuma ya mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Padri nchini Indonesia anusurika kuuawa na mwanachama wa Daesh
Aug 29, 2016 09:26Polisi ya Indonesia imetangaza habari ya kunusurika kuuawa padri mmoja wa nchi hiyo kutokana na hujuma ya mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya
Aug 18, 2016 22:21Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.