-
Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh
Aug 17, 2016 02:42Baghdad imesema kuwa Russia imeruhusiwa kwa masharti kutumia anga ya Iraq kuendesha mashambulizi dhidi ya kundi la Daesh huko Syria.
-
Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani
Aug 14, 2016 02:31Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
-
"Madai kuwa Iran imeipa Daesh silaha ni kichekesho"
Aug 11, 2016 10:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha madai ya kipropaganda yanayoenezwa na vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa Tehran imelipa silaha kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Trump: Obama na Hillary Clinton waliunda kundi la kigaidi la Daesh
Aug 11, 2016 03:27Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump amesema kuwa, Rais Barack Obama na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo Hillary Clinton ndio walioanzisha kundi la kigaidi la Daesh.
-
Shamkhani: Baadhi ya nchi ajinabi haziko tayari kupatiwa ufumbuzi suala la Daesh
Aug 09, 2016 08:52Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano baina ya jamii na makundi mbalimbali kwa ajili ya Iraq moja.
-
Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria
Aug 05, 2016 23:18Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Deir Ez-Zour, mashariki mwa nchi mapema jana Ijumaa.
-
Radiamali ya kiongozi wa Boko Haram kufuatia kuteuliwa kiongozi mpya na Daesh
Aug 04, 2016 10:36Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la nchini Nigeria amesema kuwa wanachama wa kundi hilo hawaafiki kuteuliwa mjumbe yoyote kutoka kundi la Daesh kuwa kiongozi wao.
-
Uingereza: Tumesambaratisha ngome muhimu ya mafunzo ya kijeshi ya kundi la Daesh Mosul
Aug 03, 2016 09:42Wizara ya Ulinzi nchini Uingereza imetangaza kuwa, askari wake wa anga (RAF) wameshambulia ngome muhimu ya kutolea mafunzo ya kijeshi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika moja ya ikulu za dikteta Saddam Hussein, rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
42 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu Libya
Aug 02, 2016 23:27Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini lililolenga wanajeshi wa serikali katika mji wa Benghazi, mashariki mwa Libya.
-
Ghala la silaha za Daesh lanaswa Sirte, Libya
Jul 31, 2016 11:49Vikosi vya jeshi la Libya vimegundua na kunasa karakana moja ya kuzalisha mabomu ya kutega ardhini, mada za miripuko na ghala lililokuwa na silaha za aina mbalimbali mali ya kundi la kigaidi la Daesh huko mashariki mwa mji wa Sirte nchini humo.