-
Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte
Jul 30, 2016 03:33Mapigano mapya baina ya askari wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yamesababisha mauaji ya askari watano wa serikali katika mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wa Daesh watishia kuishambulia Uingereza
Jul 27, 2016 09:37Kundi la kigaidi la Daesh limetishia kuwa London itakuwa mlengwa wa mashambulizi ya kundi hilo baada ya magaidi hao kutekeleza shambulio jingine katika kanisa moja huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa.
-
Lavrov: Maafisa wa jeshi la Saddam ndio uti wa mgongo wa kundi la Daesh
Jul 25, 2016 23:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa maafisa wa zamani wa jeshi la dikteta aliyenyongwa wa Iraq, Saddam Hussein ndio uti wa mgongo wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Magaidi wa Daesh waukimbia mji wa Manbij na nguo za kike
Jul 24, 2016 09:24Ripoti zinasema kuwa wanamgambo watatu wa kundi la kigaidi la Daesh ambao walitaka kuukimbia mji wa Manbij kaskazini mwa Syria wakiwa wamevalia nguo za kike wamekamatwa mateka na wapiganaji wa Kikurdi.
-
Zaidi ya Waislamu 80 wauawa, 231 wajeruhiwa katika shambulizi la Daesh, Kabul
Jul 23, 2016 12:36Waislamu wasiopungua 80 wameuawa na wengine zaidi ya 231 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu lililofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh dhidi ya maandamano ya amani ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Matamshi ya afisa jeshi wa Libya kuhusu kuweko nchini vikosi ajinabi
Jul 23, 2016 02:32Kamanda wa kikosi cha anga cha jeshi la Libya amesema kuwa wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa wapo Libya kwa ajili tu ya kudhibiti harakati za kundi la kigaidi la Daesh.
-
UN: Magaidi wa ISIS yamkini wakaenea Afrika baada ya kushindwa Libya
Jul 19, 2016 09:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh yamkini wakaenea maeneo mengine barani Afrika baada ya kupata pigo kubwa katika mji wa Sirte nchini Libya, ambayo ilikuwa ngome yao.
-
Muqtada Sadr atahadharisha juu ya kutumwa askari wa US, Iraq
Jul 18, 2016 03:14Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq ameitahadharisha Marekani dhidi ya kutuma askari wake zaidi nchini humo kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Mapigano yaendelea katikati ya mji wa Sirte, Libya
Jul 17, 2016 11:23Mapigano baina ya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yangali yanaendelea katikati ya mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
'Waziri wa Vita' wa ISIS athibitishwa kuangamizwa
Jul 14, 2016 02:03Kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limethibitisha kuangamizwa kamanda wake wa ngazi za juu, Omar al-Shishani, ambaye inasemekana aliuawa mwezi Machi.