-
Vikosi vya Libya vyashambulia ngome za Daesh
Jul 12, 2016 23:03Vikosi vya Libya vimezishambulia ngome za wanamgambo wa kundi la kigaidi la Daesh kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Bunge Uingereza laitaka Saudia ikomeshe misaada yake kwa kundi la kigaidi la Daesh
Jul 12, 2016 12:31Kamati ya Bunge la Uingereza imetangaza kuwa, Saudi Arabia na nchi nyingine za Kiarabu zinapaswa kuzizuia familia za watawala matajiri wa nchi hizo kulifadhili kundi la kigaidi la Daesh.
-
Iran yawataka Wairaqi waungane ili waweze kuangamiza magaidi wa ISIS
Jul 10, 2016 08:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuwepo umoja imara baina ya makundi mbali mbali ya Iraq ili taifa hilo lifanikiwe kuangamiza magaidi wakufurishaji nchini humo na kote katika eneo.
-
Magaidi wa ISIS wawakata vichwa wachezaji soka na kocha wao
Jul 09, 2016 23:15Magaidi wa kundi la kitakfiri la ISIS au Daesh wamewaua kwa kuwakata vichwa wachezaji soka watatu wa timu ya al Shabab ya Raqaa nchini Syria na kocha wao.
-
Waziri Mkuu wa Iraq awafuta kazi maafisa usalama Baghdad baada ya kuuawa watu 300
Jul 08, 2016 22:56Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amewafuta kazi maafisa wa ngazi za juu wanaosimamia usalama katika mji mkuu Baghdad kufuatia hujuma ya kigaidi.
-
Hammond akiri, Uingereza ilihusika kuimarisha Daesh
Jul 08, 2016 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa wakati wa vita vya Iraq na kwamba suala hilo limechangia katika kuliimarisha na kulipa nguvu zaidi kundi la kigaidi la Daesh.
-
Magaidi washambulia kaburi la mjukuu wa Mtume, waua watu 35 na kujeruhi 60
Jul 08, 2016 00:18Magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh wameshambulia ziara la mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika mji wa Balad ulioko umbali wa kilomita 80 kutoka Baghdad na kuua watu wasiopungua 35.
-
Magaidi wa ISIS waliokamtwa Iran wakiri kuhusu njama zao
Jul 05, 2016 08:55Wizara ya Usalama ya Iran imetoa video ya magaidi wawili wa kundi la ISIS au Daesh ambao wamefafanua kuhusu njama zao za kupanga kutekeleza mashambulizi katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
-
80 wauawa katika mashambulizi ya mabomu Baghdad, Iraq
Jul 03, 2016 02:52Watu wasiopungua 80 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Magaidi wa ISIS waua watu 22 mgahawani Bangladesh
Jul 02, 2016 09:14Magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS (Daesh) wameua watu wasiopungua 22 katika ufyatuaji risasi uliojiri Ijumaa usiku mgahawani katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.