-
Askari 6 wa Misri wauawa katika mpaka na Libya
Jul 01, 2016 03:34Habari kutoka Cairo, mji mkuu wa Misri zinasema kuwa, kwa akali skari 6 wa jeshi la nchi hiyo wameuawa kwenye makabiliano na kundi la watu wanaofanya magendo ya silaha na mihadarati katika mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Ripoti: Wakenya 100 wamejiunga na ISIS Libya, Syria
Jun 30, 2016 02:56Vyombo vya kiintelijensia nchini Kenya vinakadiria kuwa makumi ya raia wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki wamejiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) na kueleleza wasiwasi wao kuwa kundi hilo linaendelea kupanua wigo wake katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Kerry akiri kuhusu nafasi muhimu ya Iran katika mapambano dhidi ya ugaidi
Jun 29, 2016 02:51Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema kuwa kushiriki Iran katika vita dhidi ya kundi la Daesh huko Iraq ni jambo lenye umuhimu na taathira.
-
46 waua na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya msikiti Iraq
Jun 28, 2016 01:58Makumi ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja viungani mwa Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
-
Brigedia Jenerali Jazayeri: Saudia haina haki ya kuingilia mambo ya Iraq
Jun 27, 2016 11:30Afisa mwandamizi wa jeshi la Iran amesema Saudi Arabia na watawala wake hawana haki ya kuingilia mambo ya ndani ya Iraq na kwamba wanapaswa kuheshimu matakwa ya Wairaqi.
-
Namna Daesh wanavyotumia raia kama ngao vitani nchini Libya
Jun 27, 2016 10:40Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh linawatumia raia kama ngao katika vita vinavyoendeshwa na serikali kwa ajili ya kuukomboa mji wa bandari wa Sirte.
-
Magaidi wa ISIS waliibuliwa kuiangamiza Iran lakini kwa nguvu zake imewalemaza
Jun 25, 2016 23:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumamosi amesema magaidi wa ISIS waliibuliwa kuiangamiza Iran lakini kwa nguvu zake, Iran imeweza kuwalemaza.
-
14 wauawa katika mapigano Sirte, Libya
Jun 25, 2016 02:01Kwa akali watu 14 wameuawa katika mapigano makali kati ya jeshi la Libya na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Sirte.
-
Wazayuni wanaona bora Daesh kuliko Bashar al Assad
Jun 23, 2016 11:23Shirika la ujasusi wa kijeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja uungaji mkono wake kwa genge la kitakfiri la Daesh na kutangaza kuwa, kundi hilo ni bora kwa utawala huo kulikoni serikali ya Rais Bashar al Assad huko Syria.
-
Daesh yachoma moto nyumba na mali za raia wa Fallujah baada ya kipigo kikali
Jun 23, 2016 11:22Kundi la kigaidi la Daesh linachoma moto nyumba na mali za wakazi wa mji wa Fallujah huko Iraq ili kufidia kipigo kikali lilichokipata katika mji huo.