-
UN: Daesh inatumia mbinu ya ukatili wa ngono Iraq
Jun 20, 2016 09:29Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kukabiliana na Ukatili wa Kijinsia amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh linatumia ukatili wa kingono kama mbinu ya kigaidi nchini Iraq.
-
Dikrii mbili za kushangaza za Aguila Saleh huko Libya
Jun 20, 2016 03:29Aguila Saleh Spika wa bunge la Libya amemteua mtawala wa kijeshi wa kieneo katika kipidi hiki cha kufanyika hamasisho la wote dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
30,000 wafurushwa Fallujah Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita
Jun 20, 2016 00:54Baraza la Wakimbizi la Norway limesema kwa akali watu 30,000 wamelazimika kuyahama makazi yao katika mji wa Fallujah nchini Iraq katika muda wa siku 3 zilizopita kutokana na kushtadi mapigano katika mji huo wa kistratajia kati ya vikosi vya jeshi na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Saudia, baba wa kiroho wa magaidi wa ISIS
Jun 19, 2016 10:11Mbunge mmoja wa Iran amesema, Saudi Arabia ni baba wa kiroho wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Iran yaipongeza Iraq kufuatia kukombolewa Fallujah
Jun 18, 2016 08:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameipongeza serikali na watu wa Iraq kufuatia kukombolewa mji wa kati wa Fallujah kutoka kwa magaidi wa kundi la wakufurishaji wa ISIS au Daesh.
-
Al-Abadi: Daesh haina nafasi katika ardhi ya Iraq
Jun 18, 2016 02:38Haider al-Abadi, Waziri Mkuu wa Iraq amepongeza hatua ya kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Fallujah toka mikononi mwa Daesh (ISIS) na kusema kuwa kundi hilo la kigaidi na kitakfiri halina nafasi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Iraq laingia katikati mwa mji wa Fallujah, Daesh wakimbia
Jun 17, 2016 03:42Ripoti za hivi karibuni zinasema kuwa jeshi la Iraq na wapiganaji wa kujitolea wamefanikiwa kuingia katikati mwa mji wa Fallujah uliokuwa ukidhibitiwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh kwa miaka kadhaa sasa.
-
Libya: Hatuhitaji misaada ya nchi ajinabi kupambana na Daesh
Jun 15, 2016 11:04Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amesema kuwa nchi hiyo haihitaji misaada ya nchi ajinabi kwa ajili ya kuendesha vita dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Raia wa Italia anayeaminika kuwa Daesh akamatwa Morocco
Jun 13, 2016 10:50Vyombo vya usalama nchini Morocco vimesema kuwa vimemtia nguvuni raia wa Italia anayeaminika kuwa na mafungamano na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Sheikh Kubais: Netanyahu ndio anayewasimamia Daesh
Jun 12, 2016 22:14Mmoja wa Mamufti watajika wa Kisuni mwa Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh linadhibitiwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.