-
Iraq yaitaka Saudia itoe maelezo kwa kulisaidia kifedha kundi la kigaidi la Daesh
Jun 12, 2016 03:04Serikali ya Iraq imelalamikia misaada ya kifedha inayokusanywa na baadhi ya makundi nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kulisaidia kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Magaidi wa ISIS waua watu 20 katika Haram ya Bibi Zainab SA, Syria
Jun 11, 2016 10:58Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Wanajeshi wa Libya waukomboa kikamilifu mji wa Sirte
Jun 11, 2016 02:41Vikosi vya serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya vimetangaza habari ya kuukomboa kikamilifu mji wa kistratajia wa Sirte, uliokua chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Raia 30 wauawa katika hujuma ya Daesh nchini Iraq
Jun 11, 2016 02:36Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa wimbi la hujuma za kitatili na za ulipizaji kisasi za Daesh (ISIS), wanachama wa kundi la hilo la kigaidi na kitakfiri wamewaua kwa kufyatulia risasi raia zaidi ya 30 magharibi mwa mji wa Fallujah, mkoa wa al-Anbar.
-
Israel inawapelekea 'futari' wapiganaji wa Daesh huko Syria
Jun 10, 2016 09:52Imerifiwa kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unawapelekea misaada ya chakula wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika maeneo ambayo yako chini ya udhibiti wao nchini Syria.
-
Watoto 11 wawa wahanga wa mashambulio ya Marekani Syria
Jun 10, 2016 02:54Kundi linalojiita la haki za binadamu nchini Syria limesema kuwa, mashambulizi ya muungano unaodaiwa ni wa kupambana na Daesh yameua raia wasiopungua 30 wakiwemo watoto wadogo 11.
-
Wanajeshi wa serikali wakomboa maeneo muhimu ya mji wa Sirte Libya
Jun 10, 2016 02:53Vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo televisheni ya Russia Today vimeripoti habari ya kukombolewa kikamilifu fukwe za mji wa Sirte na maeneo mengine muhimu ya mji huo wa baada ya kundi la Daesh kuufanya mji huo kuwa ngome yake.
-
Iraq: Daesh inatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani
Jun 09, 2016 23:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia nakala za Qur'ani tukufu kutekeleza mashambulizi yake ya mabomu katika mji wa Fallujah nchini Iraq.
-
Makumi ya wapiganaji wa kitakfiri wa Daesh waangamizwa kaskazini mwa al-Ramadi, Iraq
Jun 07, 2016 10:18Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa na jeshi la serikali katika mkoa wa al-Anbar nchini Iraq.
-
Libya yapinga uingiliaji kijeshi wa madola ya kigeni
Jun 05, 2016 03:03Waziri Mkuu wa Libya amepinga uingiliaji wa kijeshi nchini humo ambao umekuwa ukipangwa na baadhi ya madola kwa kisingizio cha kupambana na magaidi wa ISIS nchini humo.