-
Matukio ya Kisiasa na Kimedani Iraq
Jun 02, 2016 02:25Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al Abadi ambaye pia ni amiri jeshi mkuu nchini humo jana alitangaza kukamilika duru za kwanza na ya pili za kuukomboa mji wa Fallujah ambao unakaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Serikali ya Libya yakomboa eneo jengine muhimu la kiistratijia
May 31, 2016 03:19Vikosi maalumu vya kulinda taasisi za mafuta nchini Libya vimefanikiwa kulikomboa eneo moja la kiistratijia mashariki mwa mji wa bandari wa Sirte wa kaskazini mwa nchi hiyo, kutoka mikono mwa kundi la kigaidi la ISIS yaani Daesh.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhus jinai za Daesh huko Falluja, Iraq
May 30, 2016 23:48Msemaji wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amesema jinai zinazotekelezwa na magaidi wa kundi la Daesh katika mji wa Falluja huko Iraq zinatia wasiwasi.
-
Opereseheni ya kukomboa mji wa Falluja inaendelea nchini Iraq
May 28, 2016 23:21Jeshi na vikosi vya wananchi vya Iraq wanaendelea na operesheni yao ya kuukomboa mji wa Falujja kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh tangu siku sita zilizopita.
-
Rais Rouhani ataka waungaji mkono magaidi duniani watajwe
May 28, 2016 23:21Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa mwito wa kufanyika jitihada za pamoja za kupambana na ugaidi kote duniani huku akisisitiza kuwa wanaotoa uungaji mkono wa siri kwa magaidi wanapaswa kutajwa ili kusitisha misaada yao kwa magaidi hao.
-
Shule za msingi zaendelea kufungwa Uingereza kwa hofu ya ugaidi
May 28, 2016 11:32Shule za msingi zilifungwa kwa siku ya tatu mfululizo nchini Uingereza jana Ijumaa kwa hofu ya kutokea vitendo vya kigaidi.
-
Wanajeshi saba wa serikali ya Libya wauawa Sirte
May 28, 2016 03:24Wanajeshi saba wa serikali ya Libya wameuliwa katika mapigano na kundi la kitakfiri na Kizayuni la Daesh karibu na mji wa Sirte.
-
Tetesi za kuingia kwa mara nyingine NATO nchini Libya
May 26, 2016 02:27Sambamba na kuongezeka matatizo ya kiusalama Libya, kuna taarifa kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO linapanga kuingilia tena kijeshi katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Afrika Kusini yalaani mashambulizi ya kigaidi nchini Syria
May 25, 2016 09:10Serikali ya Afrika Kusini imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni nchini Syria.
-
Magaidi 2 wa ISIS wakamatwa magharibi mwa Iran wakielekea Tehran
May 22, 2016 23:06Vikosi vya usalama vya Iran vimewakamata magaidi wawili wa kundi la wakufurishaji wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Hamadan magharibi mwa nchi.