-
Waalgeria: ISIS ni genge lililoundwa na Marekani
May 18, 2016 22:22Wananchi wengi wa Algeria wanaamini kuwa, genge la kigaidi la Daesh (ISIS) limeundwa na Marekani.
-
Khalifa Haftar: Ulaya haiupi uzito utulivu na usalama nchini Libya
May 18, 2016 22:21Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Libya amesema, ana wasiwasi na siasa za nchi za Ulaya kuhusiana na Libya na inaonekana kuwa nchi hizo hazilipi uzito suala la usalama wa nchi hiyo.
-
Daesh waua makumi ya raia wa Libya kwa tuhuma za kufanya mazingaombwe
May 18, 2016 22:20Shirika la kutetea haki za binaadamu limetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu na wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh katika miji ya Sirte na Misrata, kaskazini mwa Libya.
-
Daesh wamalizana wenyewe kwa wenyewe, 50 wauawa Damascus
May 17, 2016 23:14Makumi ya wachama wa makundi ya kigaidi wameuawa kutokana na kushamiri malumbano miongoni mwao huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
"Saudi Arabia ni Benki ya Daesh (ISIS)"
May 15, 2016 09:45Maandamano yamefanyika nje ya Ubalozi wa Saudi Arabia mjini Berlin, Ujerumani ambapo washiriki wameilaani Saudia kwa kuendelea kutoa misaada kwa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS.
-
Jeshi la Syria lakomboa madaktari kutoka mikononi mwa Daesh
May 15, 2016 02:20Jeshi la serikali ya Syria limefanikiwa kukomboa hospitali moja katika mji wa Dayr al Zawr wa mashariki mwa nchi hiyo kutoka katika makucha ya genge la kitakfiri la Daesh.
-
Magaidi kadhaa wa Daesh watibiwa nchini Uturuki
May 14, 2016 23:22Baadhi ya wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh hivi karibuni wamepatiwa matibabu kwa siri katika hospitali moja ya mji wa Gaziantep nchini Uturuki, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syria.
-
Mohsen Rezai: Daesh ni mdhamini wa usalama wa Israel
May 13, 2016 23:20Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushamiri na kuenea makundi ya kitakfiri na kigaidi kumevuruga amani ya eneo la Mashariki ya Kati na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni.
-
Shambulizi la bomu la Daesh laua askari 17 nchini Iraq
May 13, 2016 03:19Kwa akali askari 17 wa jeshi la Iraq wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Anbar, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Daesh yaua raia 16 wa Ethiopia nchini Libya
May 12, 2016 02:20Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetoa kanda mpya ya video ya kuogofya inayoonyesha namna magaidi hao wanavyowaua kinyama raia wa Ethiopia nchini Libya.