-
Askari wa jeshi la majini la Uingereza ajiunga na Daesh
May 08, 2016 22:59Imearifiwa kuwa askari mmoja wa jeshi la majini la Uingereza ameondoka nchini na kuelekea Syria kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Hujuma ya Daesh nchini Libya yaua watu watano
May 06, 2016 09:33Watu watano wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini la kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Misrata, magharibi mwa Libya.
-
Umoja wa Mataifa: 741 waliuawa mwezi Aprili nchini Iraq
May 01, 2016 23:33Takwimu za hivi punde za Umoja wa Mataifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliouawa katika machafuko na wimbi la mashambulizi ya kigaidi nchini Iraq mwezi uliopita wa Aprili ni watu 741.
-
Iran: Dunia iungane katika vita dhidi ya ugaidi
Apr 29, 2016 23:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu kuenea ugaidi na misimamo mikali duniani na kusema jamii ya kimataifa inapasa kushirikiana kukabiliana na uovu huo.
-
Wasiwasi wa Daesh kupata silaha za kemikali
Apr 25, 2016 22:05Jumuiya ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) imetahadharisha kwamba kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likawa na silaha za kemikali.
-
Watu 12 wauawa katika hujuma za kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Apr 24, 2016 00:02Kwa akali watu 12 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulizi mawili ya bomu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Watu 9 wauawa katika hujuma yamsikitini Iraq
Apr 22, 2016 12:56Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine zaidi ya 25 kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Daesh waua wanawake 250 huko Mosul nchini Iraq
Apr 21, 2016 03:55Maafisa wa kikurdi nchini Iraq wametangaza kuwa hivi karibuni magaidi wa kitakfiri wa Daesh wamewaua kinyama wanawake wapatao 250 katika ngome yao kuu huko Mosul kaskazini mwa Iraq. Inasemekana kuwa wanawake hao waliuawa kwa kukataa kutumiwa na magaidi hao kama watumwa wa ngono.
-
Daesh: Ikhwanul Muslimin ya Misri ni makafiri na mamurtadi
Apr 14, 2016 09:54Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeitaja harakati kuu ya Waislamu wa Kisunni nchini Misri ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni kundi la makafiri walioritadi na kuuasi Uislamu.
-
Kundi la kigaidi lenye uhusiano na Daesh laangamizwa Tunisia
Apr 12, 2016 23:48Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imesema kuwa imelikamata kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Bizerte kaskazini mwa nchi hiyo.