-
Kiongozi: Marekani inatoa misaada kwa magaidi
Apr 12, 2016 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
-
Kobler: Uvamizi wa kijeshi dhidi ya Libya ulikuwa makosa
Apr 12, 2016 11:29Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa nchi za Magharibi nchini humo ulikuwa makosa.
-
‘Marekani imewatumia silaha magaidi wa ISIS Iraq’
Apr 10, 2016 10:41Maafisa wa polisi nchini Iraq wanasema wameona ndege za kijeshi za Marekani zikiwateremeshia shehena za silaha magaidi wa ISIS au Daesh katika mkoa wa Al Anbar.
-
Ban Ki-moon atahadharisha kuhusu kuenea hujuma za kundi la Daesh
Apr 08, 2016 23:30Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuenea harakati za kundi la kigaidi la Daesh kote ulimwenguni.
-
Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh
Apr 08, 2016 03:52Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria
Apr 05, 2016 02:57Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.
-
Mwanzo wa kuangamizwa magaidi wa ISIS baada ya kukombolewa Palmyra
Mar 28, 2016 23:03Mafanikio ya kistratijia ya Jeshi la Syria katika kuukomboa kikamilifu mji wa kihistoria wa Tadmur au Palmyra ni jambo ambalo limezidi kumuimarisha Rais Bashar al Assad mbali na kuwa ni ujumbe kwa dunia kuwa, jeshi la Syria ndilo pekee linaloweza kuangamiza magaidi wa ISIS au Daesh nchini humo.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 03:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 10:04Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Wanachama 400 wa Daesh wameingia Ulaya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi
Mar 24, 2016 03:57Kundi la kigaidi la Daesh limetuma wanachama 400 katika nchi za Ulaya kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kigaidi.