-
Wanachama 400 wa Daesh wameingia Ulaya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi
Mar 24, 2016 03:35Kundi la kigaidi la Daesh limetuma wanachama 400 katika nchi za Ulaya kwa ajili ya kufanya mashambulizi ya kigaidi.
-
Uhispania: Daesh ndio waliohusika na mashambulizi ya leo asubuhi ya mjini Brussels, Ubelgiji
Mar 22, 2016 11:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania, José Manuel García-Margallo amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh ndio lililohusika katika miripuko ya leo ya mjini Brussels, Ubelgiji.
-
Paris: Wafaransa zaidi ya 600 wamejiunga na Daesh
Mar 20, 2016 22:29Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa Wafaransa zaidi ya 600 wamejiunga na kundi la kigaidi la Daesh katika nchi za Syria na Iraq tangu baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Paris Novemba mwaka jana.
-
'Ni unafiki US kusema itashirikiana na ICC dhidi ya ISIS'
Mar 19, 2016 04:17Mchambuzi mmoja mashuhuri wa masuala ya kisiasa amesema serikali ya Marekani haiaminiki na kwamba madai yaake ya hivi karibuni kwamba iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhakikisha wanachama wa kundi la kigaidi na kitaifiri la ISIS au Daesh wanapandishwa kizimbani ni ya kinafiki.
-
Genge lenye mfungamano na Daesh laangamizwa Tunisia
Mar 16, 2016 03:52Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa imegundua na kuliangamiza genge moja lenye mfungamano na kundi la kigaidi ma kitakfiri la Daesh katika eneo la Zaafaran katikati mwa nchi hiyo.
-
ISIS inatekeleza 'jinai dhidi ya binadamu'
Mar 15, 2016 23:28Wabunge nchini Marekani wamepitisha azimio la kutangaza kundi la kigaidi la Daesh au ISIS kuwa linatekeleza mauaji ya kimbari nchini Iraq na Syria.
-
ISIS inatekeleza 'jinai dhidi ya binadamu'
Mar 15, 2016 11:59Wabunge nchini Marekani wamepitisha azimio la kutangaza kundi la kigaidi la Daesh au ISIS kuwa linatekeleza mauaji ya kimbari nchini Iraq na Syria.
-
Kuongezeka operesheni ya vikosi vya Iraq dhidi ya Daesh
Mar 14, 2016 09:48Baada ya kuzingirwa eneo la kiistratejia la Hit katika mkoa wa al-Anbar magharibi mwa Iraq, Spika wa Bunge la nchi hiyo amesema kuwa, mkoa huo utakombolewa wote kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh katika siku chache zijazo.
-
Jeshi la Iraq laangamiza magaidi zaidi ya 75 wa Daesh
Mar 13, 2016 13:25Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza wanachama 75 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni tatu kaskazini mwa nchi, katika mikoa ya Salahuddin, Kirkuk na Nineveh.
-
Tunisia: Wananchi changieni sehemu ya mshahara kukabili ugaidi
Mar 13, 2016 13:06Waziri Mkuu wa Tunisia amewataka wafanyakazi wa umma na wananchi wote kwa jumla kuchangia sehemu ya mishahara yao kwenda kwenye hazina maalumu ya kupambana na harakati za ugaidi nchini humo.