Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Madaktari Wairani kuwatibu Wairaqi waliohujumiwa na ISIS

    Madaktari Wairani kuwatibu Wairaqi waliohujumiwa na ISIS

    Mar 13, 2016 04:06

    Timu ya madaktari wa Iran wameelekea Iraq kuwasaidia waathirika wa hivi karibuni wa hujuma ya silaha za sumu zilizotumiwa na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika mkoa wa Kirkuk.

  • Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya

    Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya

    Mar 09, 2016 04:26

    Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.

  • 'Mji mkuu' wa Daesh nchini Syria wakumbwa na uasi na upinzani

    'Mji mkuu' wa Daesh nchini Syria wakumbwa na uasi na upinzani

    Mar 07, 2016 12:49

    Makumi ya watu wameuawa baada ya kuzuka uasi wa wananchi katika mji wa Raqqa ambao kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeufanya mji mkuu wake ndani ya ardhi ya Syria.

  • Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya

    Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya

    Mar 05, 2016 23:09

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wakufurishaji wa Daesh wanaenea kwa kasi ya kuogofya nchini Libya.

  • Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Feb 26, 2016 23:32

    Mshauri wa Rais wa Syria amesema kuwa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh linaweza kuangamizwa haraka iwapo baadhi ya nchi za eneo hasa Uturuki na Saudi Arabia zitaacha kuliunga mkono kifedha na kisiasa kundi hilo la wakufurishaji.

  • Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili

    Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili

    Feb 23, 2016 04:17

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza tarehe 13 Aprili mwaka huu 2016 kuwa siku ya uchaguzi wa bunge nchini humo.

  • Libya yatahadharishwa kuhusu mashambulizi zaidi ya Daesh

    Libya yatahadharishwa kuhusu mashambulizi zaidi ya Daesh

    Feb 23, 2016 00:08

    Mkuu wa Shirika la Mafuta la Taifa nchini Libya ametahadharisha kwamba, kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likafanya mashambulizi zaidi dhidi ya taasisi na vituo vya mafuta nchini humo maadamu hakujaundwa serikali ya umoja wa kitaifa.

  • Morocco yazima shambulio la Daesh, magaidi kadhaa wakamatwa

    Morocco yazima shambulio la Daesh, magaidi kadhaa wakamatwa

    Feb 21, 2016 12:31

    Morocco imesema kuwa imefanikiwa kuzima shambulio la kemikali lililokuwa limepangwa kufanywa na mtandao mmoja wa kigaidi unaohusishwa na kundi la kitakfiri la Daesh.

  • Daesh yaendeleza jinai zake, yachinja mabarobaro 17 Iraq

    Daesh yaendeleza jinai zake, yachinja mabarobaro 17 Iraq

    Feb 19, 2016 23:37

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua vijana 17 kwa kuwakata vichwa katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.

  • Carter: Kundi la Daesh linakaribia kupata silaha za kemikali

    Carter: Kundi la Daesh linakaribia kupata silaha za kemikali

    Feb 19, 2016 04:13

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuna uwezekano kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh likapata silaha za kemikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS