-
Umoja wa Mataifa wakataa kushambuliwa Daesh Libya
Feb 17, 2016 11:40Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema kuwa, huenda hivi sasa usiwe wakati mwafaka wa kufanya operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi wa Daesh nchini Libya.
-
Bennett: Marekani imelipa kundi la Daesh silaha za kemikali
Feb 17, 2016 00:08Afisa wa zamani wa jeshi la Marekani amesema kuwa silaha za kemikali zinazomilikiwa na kundi la Daesh zimetoka Marekani.
-
Daesh yafanya jinai kubwa katika mji wa Mosul, Iraq
Feb 16, 2016 11:39Kundi la kigaidi la Daesh limewanyonga raia zaidi ya elfu moja katika eneo la Mosul huko Iraq.
-
CIA: Kundi la Daesh linatumia silaha za kemikali
Feb 12, 2016 04:40Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limesema kuwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh linatumia silaha za kemikali katika mashambulizi yake.
-
Daesh 40 wauawa Sinai, Misri
Feb 11, 2016 00:23wapiganaji zaidi ya 40 wa kundi la kigaidi la Daesh wameuawa huko kaskazini mwa Sinai nchini Misri.
-
Tahadhari kuhusu kujiimarisha Daesh huko Libya
Feb 09, 2016 22:12Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu juhudi za kundi la kigaidi la Daesh za kuimarisha ushawishi wake huko Libya.
-
Russia yakamata magaidi wa ISIS, yazuia hujuma za kigaidi
Feb 08, 2016 23:00Vikosi vya usalama Russia vimewakamata magaidi saba wa kundi la ISIS (Daesh) ambao walikuwa wanapanga kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kadhaa kote Russia.
-
Kamanda Msaudi wa ISIS auawa Iraq
Feb 07, 2016 10:32Kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh ameuawa nchini Iraq katika hujuma ya ndege za kivita mkoani Ninevah.
-
Zarif: Usalama haupatikani kwa kuvuruga usalama wa wengine
Feb 07, 2016 10:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema usalama na maslahi hayapatikani mkabala wa kuvuruga usalama na kutozingatia maslahi ya wengine.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuenea kwa harakati za Daesh duniani
Feb 06, 2016 11:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, hadi mwishoni mwa mwaka uliopita makundi zaidi ya 30 ya kigaidi yalitangaza utiifu wao wa kushirikiana na kundi la kitakfiri la Daesh.