Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Tahadhari kuhusu kubadilika Libya na kuwa tishio kwa Afrika

    Tahadhari kuhusu kubadilika Libya na kuwa tishio kwa Afrika

    Feb 04, 2016 23:36

    Rais wa Nigeria ametahadharisha kuhusu athari za ukosefu wa amani huko Libya na kubadilika suala hilo kuwa tishio kwa usalama wa bara la Afrika.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London

    Feb 04, 2016 08:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif leo yuko mjini London, kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Uingereza Phillip Hammond, kushiriki katika kikao cha kimataifa cha kuisaidia Syria na Mashariki ya Kati.

  • Daesh inafanya biashara ya kuuza figo za binadamu

    Daesh inafanya biashara ya kuuza figo za binadamu

    Feb 04, 2016 03:29

    Katika kuendeleza jinai zake dhidi ya binadamu, kundi la kigaidi la Daesh linafanya biashara ya kuuza figo za binadamu katika maeneo inayoyadhibiti.

  • Ahadi za kundi la kitakfiri la Daesh katika kuwavutia vijana masikini wa Kiafrika kujiunga nalo

    Ahadi za kundi la kitakfiri la Daesh katika kuwavutia vijana masikini wa Kiafrika kujiunga nalo

    Feb 03, 2016 23:59

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limekuwa likiahidi kuwapatia vijana masikini wa Kiafrika kitita kikubwa cha pesa ili wakubali kujiunga nalo. Kwa mujibu wa kanali ya Kiarabu ya al-Mayadin, kundi hilo maarufu kwa kutenda jinai dhidi ya binaadamu, limekuwa likitumia siasa za kuwavutia vijana masikini katika mji wa mwambao wa bahari wa Sirte kaskazini mwa Libya ili wakubali kujiunga nalo.

  • Lavrov: Mashambulizi ya anga Syria yataendelea hadi kushindwa kikamilifu magaidi

    Lavrov: Mashambulizi ya anga Syria yataendelea hadi kushindwa kikamilifu magaidi

    Feb 03, 2016 23:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow itaendeleza mashambulizi yake ya anga huko Syria hadi pale makundi ya kigaidi yatakaposhindwa kikamilifu.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS