SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i20503-sauti_wasiwasi_wa_kuanza_wimbi_jipya_la_mashambulizi_ya_kigaidi_nchini_kenya
Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Nov 30, 2016 14:45 UTC