-
Intelijensia ya Somalia yaua magaidi 24 wa Al Shabaab, yumo kiongozi wake anayewindwa kwa muda mrefu
Sep 27, 2025 02:22Shirika la Intelijensia na Usalama la Somalia (NISA) limetangaza kuwa limetekeleza operesheni ya mashambulizi iliyowalenga viongozi wa kundi la kigaidi la Al-Shabab na kuua magaidi 24 akiwemo kiongozi wa kundi hilo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu.
-
Maelfu wahamishwa baada ya Al-Shabab kudhibiti mji katikati mwa Somalia
Jul 15, 2025 16:22Afisa mmoja wa jeshi la Somalia ametangaza kuwa, wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wameuteka mji wa Tardo katika eneo la Hiiran katikati ya nchi hiyo.
-
Jeshi la Somalia laangamiza makamanda kadhaa wa al-Shabaab
Jun 09, 2025 02:50Makamanda watatu waandamizi wa kundi la kigaidi la al-Shabab walioendesha wimbi la mashambulizi mabaya nchini Somalia katika miezi ya karibuni wameuawa katika operesheni ya pamoja ya usalama.
-
Washukiwa wa al-Shabaab waua Wakenya watano Mandera
Apr 30, 2025 02:33Wafanyakazi watano wa machimbo wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa wakati gari lao liliposhambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigadi la al-Shabaab kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Jeshi la Somalia laua magaidi karibu 50 wa al-Shabaab katika mashambulizi 2
Apr 17, 2025 12:49Jeshi la Somalia limewauwa magaidi 47 wa al-Shabaab katika mashambulizi mawili tofauti leo Alkhamisi, likiwemo lile la Aadan Yabaal katika eneo la Shabelle ya Kati, mji wa kimkakati uliotwaliwa na kundi hilo la kigaidi lenye mfungamano na al-Qaeda jana.
-
Makumi ya wapiganaji wa ISIS wauawa katika mapigano na vikosi vya Puntland, Somalia
Feb 13, 2025 06:50Makumi ya wanamgambo wa ISIS wameuawa katika makabiliano makali na vikosi vya usalama katika eneo linalojitawala la Puntland huko Somalia jana Jumatano, huku vikosi vya usalama vikipata hasara katika mapigano hayo yaliyoanza Jumanne iliyopita.
-
Magaidi 16 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Jan 29, 2025 10:37Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuwaua magaidi 16 wa al-Shabaab katika operesheni katika mkoa wa Hiiraan, mashariki mwa nchi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
-
Magaidi 95 wa kundi la al-Shabaab wauawa Somalia
Oct 22, 2024 07:06Wizara ya Ulinzi ya Somalia imesema kwamba, jeshi la nchi hiyo likisaidiwa na washirika wa ndani na wa kimataifa, limefanya operesheni za kijeshi dhidi ya kundi la wanamgambo wa al-Shabaab, na kuua wanachama zaidi ya 95 wa genge hilo la kigaidi.
-
Magaidi 80 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jul 22, 2024 11:27Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa nchini Somalia katika operesheni tatu za jeshi la Somalia dhidi ya genge hilo.
-
'Washauri wa kijeshi' wa Imarati, Bahrain wauawa na al-Shabaab Somalia
Feb 12, 2024 04:38Kwa akali wakufunzi watano wa kijeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain wameuawa katika shambulizi linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.