-
Al-Shabaab yashambulia kambi ya jeshi Somalia, makumi ya askari 'wauawa'
Jan 25, 2024 03:27Wanajeshi kadhaa wa Somalia wanahofiwa kuuawa katika shambulizi la kushtukiza la kundi la wanamgambo la al-Shabaab kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Wanamgambo wa al Shabaab wauwa 1 na kuwatia nguvuni 5 kutoka helikopta ya UN
Jan 11, 2024 07:47Maafisa nchini Somalia wameeleza kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab wenye mfungamano na mtandao wa al Qaida jana walimuuwa mtu mmoja na kuwatekanyara wengine watano kutoka katika helikopta ya Umoja wa Mataifa huko katikati mwa Somalia.
-
Wanamgambo 80 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia
Dec 27, 2023 06:52Wanachama wasiopungua 80 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya Jeshi la Taifa la Somalia katika mkoa wa Mudug, kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia: Tumeua wanachama 1,650 wa al-Shabaab ndani ya miezi 2
Oct 05, 2023 14:01Serikali ya Somalia imesema imefanikiwa kuangamiza wanachama 1,650 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika operesheni za vikosi vya jeshi la nchi hiyo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 27 wa al-Shabaab Galmudug
Sep 23, 2023 07:42Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika jimbo la Galmudug, katikati mwa nchi.
-
Jeshi la Ethiopia lasema limeua magaidi 462 wa al-Shabaab Somalia
Sep 22, 2023 02:41Kwa akali wanachama 462 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waliuawa mwisho mwa wiki nchini Somalia, Jeshi la Ulinzi la Taifa la Ethiopia (ENDF) limethibisha hayo na kueleza kuwa, magaidi hao waliuawa katika shambulizi lililotibuliwa katika kambi ya askari wa Ethiopia wanaohudumu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS).
-
Al-Shabaab ya Somalia yaitishia Marekani, yasema italipiza kisasi
Sep 17, 2023 04:37Kiongozi mwandamizi wa kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia ameionya Marekani kufuatia shambulizi la anga la hivi karibuni lililofanywa na ndege za kivita za US kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kundi la al-Shabaab ladhibiti miji mitano katikati ya Somalia
Aug 30, 2023 02:31Wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameripotiwa kuteka miji mitano iliyoko katikati ya Somalia.
-
Rais wa Somalia: Tutaitokomeza al-Shabaab ndani ya miezi 5
Aug 19, 2023 10:25Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema lengo la operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini humo ni kulitokomeza na kulisambaratisha kundi la kigaidi la al-Shabaab katika kipindi cha miezi mitano ijayo.
-
Shambulio la kigaidi la Al-Shabaab laua watu wawili na kujeruhi wengine 10 Lamu, Kenya
Aug 02, 2023 07:57Watu wawili wameaga dunia na wengine wapatao 10 wamejeruhiwa, akiwemo diwani wa eneo moja wakati magaidi 60 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Al-Shabaab walipovamia magari katika eneo la Mwembeni, karibu na Lango la Simba kwenye barabara kuu ya Lamu-Witu-Garsen nchini Kenya.