-
Jeshi la Iraq lamuua kiongozi wa ISIS nchini Syria
May 29, 2020 01:46Televisheni ya al Mayadeen imeripoti kuwa, kiongozi mmoja mkubwa wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Iraq katika maficho ya magaidi hao huko Deir ez-Zor, Syria.
-
Kiongozi wa ISIS nchini Iraq auawa katika shambulizi la anga
May 26, 2020 23:14Kikosi cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq kimetangaza habari ya kuangamizwa kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo, Mu'taz al-Jubouri katika shambulizi la anga.
-
Makabila ya kaskazini mwa Misri yajiandaa kutekeleza operesheni dhidi ya ISIS
May 16, 2020 21:50Duru za kieneo zimeripoti kwamba makabila ya eneo la Sinai, kaskazini mwa Misri yametangaza utayarifu wao wa kutekeleza operesheni dhidi ya magaidi wa kundi la Daesh baada ya kumalizika mwezi wa Ramadhani.
-
Badr: Ndege za Marekani zinawabeba magaidi wa ISIS kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 11, 2020 10:35Kiongozi katika Taasisi ya Badr ya Iraq amesema ndege za Jeshi la Marekani zinatekeleza oparesheni ya kuwabeba magaidi wa ISIS au Daesh kutoka Syria na kuwapeleka Iraq .
-
Waziri Mkuu wa Iraq apongeza uungaji mkono wa Iran katika vita dhidi ya ISIS
May 10, 2020 19:53Waziri Mkuu mpya wa Iraq ameipongeza na kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada na uungaji mkono wake katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi: Magaidi wa Daesh (ISIS) wamezingirwa jimbo la Diyala
May 09, 2020 23:42Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya nchini Iraq amesema kuwa magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) wamezingirwa katika pande nne za jimbo la Diyala, mashariki mwa Iraq.
-
Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq
May 05, 2020 06:50Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Iraq ameelezea amri ya Adil Abdul-Mahdi, Waziri Mkuu wa Iraq ya kuanzishwa operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Helikopta za Marekani zanaswa zikiwasafirisha magaidi wa DAESH (ISIS) kutoka Syria na kuwapeleka Iraq
May 04, 2020 09:39Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya An-Nujabaa ya Iraq imetoa mkanda wa vidio unaoonyesha jinsi helikopta za jeshi la Marekani zinavyowahamisha kutoka Syria na kuwapeleka Iraq magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS).
-
Sababu za kudhihiri tena Daesh nchini Iraq
May 04, 2020 05:24Magaidi wa kundi la Daesh wameshambulia Harakati ya Wananchi wa Iraq Hashdu Sha'bi, na kuua pamoja na kujeruhi makumi ya wanaharakati wa kundi hilo la mapambano ya Kiislamu.
-
Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia
May 04, 2020 02:45Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.