-
Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani
Jul 19, 2019 02:33Musa Abu Marzouq mjumbe wa ngazi ya juu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa wito wa kususiwa sarafu ya dola ya Marekani.
-
Wanadiplomasia wa Ulaya: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitadhoofisha sarafu ya Dola
Oct 29, 2018 13:49Wanadiplomasi kadhaa wa Ulaya wamesema kuwa, vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, vitapelekea kudhoofika kwa sarafu ya Dola ya nchi hiyo.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 04, 2018 02:34Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.
-
Iran, Russia na Uturuki zadhamiria kwa dhati kuondoa sarafu ya dola katika biashara baina yao
Aug 14, 2018 15:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Uturuki, Iran na Russia zinapanga kutumia sarafu zao za taifa badala ya sarafu ya dola katika biashara baina yao.
-
Upinzani DRC waja na mkakati mpya wa kumshinikiza Rais Kabila aondoke madarakani
Jul 24, 2017 04:40Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umetangaza mipango na mikakati yake mipya ya kushinikiza kuondoka madarakani Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo kwa kutumia migomo na uasi wa kiraia.
-
Mamilioni ya fedha za umma za mauzo ya madini zatoweka Congo DR
Jul 23, 2017 06:46Jumuiya ya kimataifa ya Global Witness imetangaza kuwa, asilimia 20 ya mapatano yanayotokana na mauzo ya madini ya almasi, dhahabu na shaba zimetoweka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.