Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA

    Onyo la Trump kwa mashirika ya Ulaya; hatua mpya ya kuvuruga mapatano ya JCPOA

    Jul 02, 2018 22:39

    Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kwamba atayawekea vikwazo mashirika yote ya Ulaya ambayo yataamua kufanya biashara na Iran.

  • Maelfu ya Wamarekani waandamana dhidi ya sera za Trump kuhusu wahajiri

    Maelfu ya Wamarekani waandamana dhidi ya sera za Trump kuhusu wahajiri

    Jun 30, 2018 21:13

    Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Marekani wakipinga sera na siasa za kuwapiga vita wahajiri hususan hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kuwatenganisha watoto wahajiri na wazazi wao.

  • Mkuu wa Baraza la Ulaya atahadharisha kuhusu kuharibika uhusiano wa Umoja wa Ulaya na Marekani

    Mkuu wa Baraza la Ulaya atahadharisha kuhusu kuharibika uhusiano wa Umoja wa Ulaya na Marekani

    Jun 29, 2018 03:13

    Donald Tuska, mwenyekiti wa Baraza la Ulaya amewataka viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya kujitayarisha kwa ajili ya hali mbaya zaidi katika uhusiano wa nchi hizo na Marekani. Amebainisha kuwa sera za Rais Donald Trump wa Marekani zinaenda kinyume na thamani za Umoja wa Ulaya.

  • Iran: Reuters inaeneza habari 50 za uongo kila siku dhidi yetu; uanagenzi wa Trump ni kwa manufaa ya Tehran

    Iran: Reuters inaeneza habari 50 za uongo kila siku dhidi yetu; uanagenzi wa Trump ni kwa manufaa ya Tehran

    Jun 24, 2018 10:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria hatua zisizo za kimantiki za rais wa Marekani ikiwa ni pamoja na uamuzi wake wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, matokeo ya hatua hizo ni kuzidi kuharibika jina la Donald Trump na kuzidi kunufaika Iran.

  • James Comey: Trump ndiye rais mbaya zaidi kati ya marais wote wa Marekani

    James Comey: Trump ndiye rais mbaya zaidi kati ya marais wote wa Marekani

    Jun 22, 2018 21:56

    Mkuu wa zamani wa Polisi ya Federali nchini Marekani (FBI) amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa ndiye rais mbaya zaidi kati ya marais wa Marekani katika historia ya nchi hiyo.

  • EU kutoa jibu kali kwa Marekani katika vita vya ushuru wa forodha

    EU kutoa jibu kali kwa Marekani katika vita vya ushuru wa forodha

    Jun 21, 2018 02:24

    Mkurugenzi Mkuu wa Biashara katika Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo utatoa jibu kali kwa Marekani katika vita ya ushuru wa forodha.

  • New York Times: Ufalme wa Marekani unaendelea kuporomoka

    New York Times: Ufalme wa Marekani unaendelea kuporomoka

    Jun 19, 2018 22:12

    Gazeti la New York Times la nchini Marekani limeandika ripoti ya ukosoaji kwamba, Rais Donald Trump wa nchi hiyo anaigeuza Marekani kuwa mbabe ambaye haogopwi tena katika nafsi za upande wa pili.

  • Mshauri wa Obama: Trump anaiaibisha Marekani duniani

    Mshauri wa Obama: Trump anaiaibisha Marekani duniani

    Jun 18, 2018 21:52

    Al Sharpton, mshauri wa aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama na mwanaharakati mkubwa wa haki za binaadamu nchini Marekani amesema kuwa, Rais Donald Trump amesababisha makundi ya mrengo wa kulia na yenye misimamo mikali kupata nguvu nchini humo.

  • Akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za Trump kuhusiana na Korea Kaskazini

    Akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za Trump kuhusiana na Korea Kaskazini

    Jun 18, 2018 10:42

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa akthari ya Wamarekani hawana imani na sera za rais wa nchi hiyo kuhusiana na Korea Kaskazini.

  • China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara

    China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Jun 16, 2018 02:26

    Serikali ya China imetangaza kupandisha ushuru wa forodha kwa asilimia 25, kwa bidhaa 659 za Marekani zinazoingia nchini humo, ikiwa ni katika kujibu hatua ya kiuhasama ya Washington ya kutangaza ongezeko la ushuru kwa asilimia 25 kwa bidhaa za China zinazopelekwa nchini Marekani, lililotangazwa na Rais Donald Trump mapema jana Ijumaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS