-
Mashtaka ya ICC dhidi ya Trump: Jinamizi kwa Ikulu ya White House?
Dec 11, 2025 23:06Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, ina wasiwasi kuhusu uwezekano wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa kibali cha mashtaka dhidi ya Donald Trump.
-
Kwa nini Wamarekani wengi wanapinga hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran?
Dec 07, 2025 23:01Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya raia wa Marekani wanapinga mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na serikali ya Rais Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Karibu 50% ya raia wa nchi wananchama wa EU wanamuona Trump "adui wa Ulaya"
Dec 05, 2025 03:03Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa, karibu nusu ya raia wa nchi wananchama wa Umoja wa Ulaya, EU wanamwona Rais wa Marekani Donald Trump kama "adui wa Ulaya," huku wengi miongoni mwao wakihisi hatari ya kuzuka vita vya wazi baina ya nchi zao na Russia katika miaka ijayo kuwa ni ya "juu".
-
Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"
Dec 04, 2025 23:06Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.
-
Trump na mkakati wa kuchochea ubaguzi wa rangi
Dec 04, 2025 23:04Donald Trump, Rais wa Marekani, ameendeleza mashambulizi makali dhidi ya wahamiaji wa Kisomali akisema: “Somalia inanuka.” Aidha, alimueleza Ilhan Omar, mbunge wa Kidemokrasia na Mwislamu, kuwa ni “takataka.”
-
Mbunge Ilhan Omar amjibu Trump kwa kumwita yeye na wahamiaji Wasomali "takataka"
Dec 03, 2025 07:09Ilhan Omar, mbunge Muislamu anayewakilisha jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Democrat amejibu mapigo kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump baada ya kiongozi huyo kuanzisha tena mashambulizi ya matusi ya kibaguzi dhidi yake na jamii ya Wasomali wa jimbo la Minnesota.
-
Mvutano mkali ulitawala mazungumzo ya Trump na Bin Salman kuhusu kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 26, 2025 08:14Duru zenye taarifa zimedokeza kuwa, mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman uliofanyika wiki iliyopita katika Ikulu wa White House ulishuhudia mvutano wa dhahiri kwa sababu Trump aliishinikiza Riyadh ijiunge na Mkataba wa Abraham, wa kuanzisha uhusiano rasmi na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini Macron anaamini kuwa G20 inakaribia kuporomoka?
Nov 24, 2025 04:24Katika ufunguzi wa mkutano wa kilele wa G20 mjini Johannesburg, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisema katika hotuba isiyo ya kawaida kuwa kundi hilo limepoteza uwezo wake wa kutatua migogoro ya kimataifa.
-
Katika mkutano na Trump, Mamdani azungumzia US inavyofadhili mauaji ya kimbari Ghaza
Nov 23, 2025 03:02Zohran Mamdani, Meya mpya mteule wa Jiji la New York, amezungumzia suala la ufadhili wa Marekani kwa vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, katika mkutano aliofanya na rais wa Marekani Donald Trump Ikulu ya White House.
-
Cristiano Ronaldo akosolewa vikali kwa kukutana na Trump White House katika dhifa ya chakula
Nov 21, 2025 23:12Nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo anaandamwa na wimbi la ukosoaji mkali baada ya kushiriki kwenye dhifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa ajili ya ujumbe wa Saudi Arabia.