Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump aliwalipa wanawake 100 wanyamaze kimya kuhusu uhusiano haramu wa kijinsia

    Trump aliwalipa wanawake 100 wanyamaze kimya kuhusu uhusiano haramu wa kijinsia

    Jan 14, 2018 23:48

    Rais Donald Trump wa Marekani aliwalipa pesa wanawake 100 ili wanyamaze kimya kuhusu uhusiano haramu wa kijinsia aliokuwa nao.

  • Wakenya wamlaani vikali Rais Trump wa Marekani kwa kuzitaja nchi za Afrika kuwa 'chafu'

    Wakenya wamlaani vikali Rais Trump wa Marekani kwa kuzitaja nchi za Afrika kuwa 'chafu'

    Jan 14, 2018 12:26

    Wananchi wa matabaka mbali mbali nchini Kenya wamemlaani vikali rais wa Marekani, Donald Trump ambaye ametoa matusi na matamshi ya kibaguzi kuhusu nchi za Afrika.

  • Matamshi ya kudhalilisha ya Trump kuhusu nchi za Kiafrika yakabiliwa na wimbi la ukosoaji

    Matamshi ya kudhalilisha ya Trump kuhusu nchi za Kiafrika yakabiliwa na wimbi la ukosoaji

    Jan 13, 2018 23:24

    Mabalozi wa nchi 54 za Kiafrika katika Umoja wa Mataifa wamelaani matamshi ya kudhalilisha yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu Waafrika.

  • Dunia yaghadhabishwa na maneno machafu ya Trump dhidi ya wahajiri

    Dunia yaghadhabishwa na maneno machafu ya Trump dhidi ya wahajiri

    Jan 12, 2018 10:32

    Asasi za kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimelaani matamshi machafu yaliyojaa chuki, kejeli na dharau yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipokuwa akiashiria wahajiri kutoka nchi kadhaa duniani hususan za Afrika wanaoenda kutafuta hifadhi Marekani.

  • Kufutiliwa mbali safari ya Trump mjini London

    Kufutiliwa mbali safari ya Trump mjini London

    Jan 12, 2018 09:49

    Rais Donald Trump wa Marekani ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba amefutilia mbali safari yake ya nchini Uingereza.

  • Korea Kaskazini yatabiri kwamba Trump ataporomoka kisiasa mapema sana

    Korea Kaskazini yatabiri kwamba Trump ataporomoka kisiasa mapema sana

    Jan 12, 2018 04:26

    Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala nchini humo limemtabiria Rais Donald Trump wa Marekani kuporomoka kisiasa baada ya kuchapishwa kitabu cha 'Moto na Ghadhabu Ndani ya White House ya Trump' kilichoandikwa na Michael Wolff.

  • Wafungwa 11 wa jela ya Guantanamo wawasilisha mashitaka dhidi ya Trump

    Wafungwa 11 wa jela ya Guantanamo wawasilisha mashitaka dhidi ya Trump

    Jan 12, 2018 01:12

    Wafungwa 11 Waislamu wanaozuiliwa katika jela ya kutisha ya Guantanamno, wamewasilisha mashitaka yao dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Hatimaye Donald Trump akubali kupimwa akili

    Hatimaye Donald Trump akubali kupimwa akili

    Jan 09, 2018 01:16

    Baada ya kuongezeka mashinikizo ya wananchi na vyombo vya habari vya Marekani, rais wa nchi hiyo, Donald Trump hatimaye amekubali kupimwa akili ili iweze kujulikana iwapo yuko salama kiakili au la.

  • Shaka na wasiwasi kuhusu uzima na utimamu wa akili wa Trump

    Shaka na wasiwasi kuhusu uzima na utimamu wa akili wa Trump

    Jan 08, 2018 04:23

    Gumzo na mijadala kuhusu uzima wa akili wa Rais wa Marekani sasa imegeuka kuwa maudhui muhimu inayozungumziwa ndani na nje ya nchi hiyo.

  • Trump acharuka baada ya kuenea habari kuwa hana akili timamu, ajibu tuhuma

    Trump acharuka baada ya kuenea habari kuwa hana akili timamu, ajibu tuhuma

    Jan 06, 2018 23:14

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa radiamali kufuatia kuenea habari zinazotia shaka usalama wa akili yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS