-
Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini
Jul 04, 2017 03:45Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Uchina kuchukua uamuzi mgumu kuhusiana na hatua ya Pyongyang ya kuvurumisha kombora jipya la balestiki mapema leo.
-
Malalamiko ya ndani na nje dhidi ya marufuku ya safari kwenda Marekani
Jul 02, 2017 08:59Zikiwa zimepita saa chache tangu kuanza kutekelezwa amri ya marufuku ya kufanya safari kwenda Marekani inayowahusu raia wa nchi sita za Waislamu, malalamiko na maandamano ya kupinga ubaguzi huo vinaendelea kushuhudiwa ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Wademokrat wa Marekani waanza mchakato wa kumng'oa madarakani Donald Trump
Jul 02, 2017 03:01Kundi moja la Wademokrat katika Bunge la Marekani limeanzisha mchakato wa kumuuzulu Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kutokana na mtatizo ya kiakili na kinafsi.
-
Maandamano dhidi ya marufuku ya Trump kwa wahajiri yafanyika Marekani
Jun 30, 2017 03:06Wananchi wa Marekani wanaopinga utekelezaji wa amri iliyotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo inayowapiga marufuku raia wa nchi sita zenye idadi kubwa ya Waislamu kuingia Marekani, waliandamana jana katika mitaa ya New York na Los Angeles.
-
Kupungua imani ya kimataifa kwa Marekani ya Trump
Jun 28, 2017 06:34Katika hali ambayo ni miezi mitano tu imepita tokea Donald Trump achukue usukani wa urais wa Marekani kiwango cha imani ya walimwengu kwa serikali ya nchi hiyo kimepungua sana.
-
Iran yalaani uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu
Jun 27, 2017 22:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu na kusema kuwa, kutokana na mitazamo yake finyu ya kibiashara, Washington imefumbia jicho wasababishaji halisi wa ugaidi nchini Marekani na kutoa ujumbe usiofaa.
-
Udiplomasia wa Marekani na changamoto ya hitilafu baina ya Trump na Tillesron
Jun 26, 2017 11:34Gazeti la New York Times limefichua hitilafu zilizopo kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo Rex Tillerson kuhusu mvutano uliopo kati ya Saudi Arabia na Qatar.
-
Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 19, 2017 08:10Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alikutana mjini Tehran na familia za mashahidi walinzi wa Haram Takatifu na vikosi vya usalama vinavyolinda mipaka ya nchi na kusisitiza umuhimu wa mashahidi katika uhai wa Iran.
-
Trump na maonyesho ya kusimama kidete mbele ya Cuba
Jun 17, 2017 23:20Rais Donald Trump wa Marekani amefuta sehemu ya mapatano yaliyofikiwa kati ya Washington na Havana wakati wa utawala wa Rais Barack Obama ikiwa ni katika juhudi za kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa uchaguzi.
-
AI yakosoa vikali siasa za Marekani kuhusu wahajiri
Jun 15, 2017 23:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali siasa za Rais wa Marekani kuhusu wahajiri na wakimbizi.