-
Mkuu wa zamani wa FBI: Trump ni muongo na kidhabi
Jun 08, 2017 23:11Mkuu wa zamani wa Polisi ya Federali ya Marekani (FBI) amesema kuwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni mrongo na kidhabi.
-
Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi
Jun 08, 2017 11:05Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, matamshi ya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni kejeli kwa wahanga wa mashambulizi hayo na yanaudhi.
-
Trump awalaumu na kuwakejeli mashahidi wa mashambulio ya Tehran
Jun 08, 2017 02:16Katika hali ambayo dunia nzima inaendelea kutoa mkono wa pole na kutuma salamu za rambirambi kufuatia mashambulio pacha ya kigaidi yaliyotokea jana hapa mjini Tehran, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa ujumbe unaoonekana kuwalaumu na kuwakejeli mashahidi waliouawa katika hujuma hizo.
-
Mivutano na Trump yamfanya Mwanasheria Mkuu wa Marekani ajiuzulu
Jun 07, 2017 10:59Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria wa Marekani Jeff Sessions amejiuzulu kutokana na mivutano iliyojitokeza baina yake na Rais wa nchi hiyo Donald Trump.
-
HAMAS: Kupanuliwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni moja ya matokeo ya safari ya Trump Mashariki ya Kati
Jun 07, 2017 10:57Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kupanuliwa ambako hakujawahi kushuhudiwa kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni moja ya matokeo ya safari ya Rais Donald Trump wa Marekani katika Mashariki ya Kati.
-
Trump aunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar
Jun 06, 2017 23:18Rais Donald Trump wa Marekani ameunga mkono Saudi Arabia katika mgogoro wake na Qatar na kwa njia isiyo ya moja kwa moja akaituhumu Qatari kuwa inaunga mkono ugaidi.
-
Malumbano ya Trump na vyombo vya mahakama vya Marekani
Jun 06, 2017 03:10Katika hatua ambayo ni nadra kuwahi kushuhudiwa, Rais wa Marekani amemwamuru Waziri wa Sheria awashinikize majaji wa Mahakama Kuu ya Federali kuhusiana na kesi ya marufuku ya raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kufanya safari nchini humo.
-
Iran: Kujiondoa US kwenye Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, hakutauathiri
Jun 04, 2017 02:45Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015 haitakuwa na taathira yoyote kwenye mkataba huo.
-
Papa atuma salamu za Ramadhani, akosoa ukaidi wa Trump
Jun 03, 2017 02:51Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia Papa Francis amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.
-
Hatimaye Trump aiondoa Marekani kwenye makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi ya Ufaransa
Jun 01, 2017 23:44Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kutangaza kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015, amesema kuwa makubaliano hayo hayana faida yoyote kwa Marekani.