Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Ukosoaji wa Wademocrat kwa mienendo hasi ya kisiasa ya Rais wa Marekani

    Ukosoaji wa Wademocrat kwa mienendo hasi ya kisiasa ya Rais wa Marekani

    May 31, 2017 08:46

    Mienendo iliyo kinyume na taratibu na misimamo iliyoonyeshwa na Rais Donald Trump wa Marekani wakati wa safari yake ya kiduru barani Ulaya, haijalalamikiwa na viongozi na vyombo vya habari vya nje, bali imekosolewa na kulalamikiwa na Wademokrat pia ndani ya Marekani kwenyewe.

  • Kumalizika safari ya rais wa Marekani barani Ulaya bila ya kufikia makubaliano

    Kumalizika safari ya rais wa Marekani barani Ulaya bila ya kufikia makubaliano

    May 28, 2017 06:05

    Rais Donald Trump wa Marekani amemaliza safari yake ya mara ya kwanza barani Ulaya tangu aingie madarakani; bila ya kufikia natija iliyotarajiwa.

  • Wakili binafsi wa Trump kuongoza jopo lake la utetezi katika faili la

    Wakili binafsi wa Trump kuongoza jopo lake la utetezi katika faili la "Trump- Russia"

    May 25, 2017 03:18

    Rais Donald Trump wa Marekani amemwajiri wakili wake wa binafsi Marc Kasowitz kuongoza jopo lake la utetezi dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kuwepo mahusiano baina ya timu yake ya kampeni za uchaguzi na maafisa wa serikali ya Russia.

  • Kofi Annan amtaka Trump aache misimamo ya chuki dhidi ya Iran

    Kofi Annan amtaka Trump aache misimamo ya chuki dhidi ya Iran

    May 24, 2017 03:05

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump kufanya mazungumzo na Iran badala ya kushikilia misimamo yake ya uhasama dhidi ya Tehran.

  • Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh

    Iran: Mauaji ya waandamanaji Bahrain, matokeo ya awali ya safari ya Trump Riyadh

    May 23, 2017 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushambuliwa na kuuawa wananchi wa Bahrain waliokuwa wakishiriki maandamano ya amani ni matokeo ya kwanza ya safari ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump nchini Saudi Arabia.

  • Hizbullah: Safari ya Trump Saudia ni ya kiwendawazimu

    Hizbullah: Safari ya Trump Saudia ni ya kiwendawazimu

    May 21, 2017 09:35

    Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeitaja safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudi Arabia kama ya kiwendawazimu na ambayo haitakuwa na tija yoyote kwa ulimwengu wa Kiislamu.

  • Makubaliano ya dola bilioni 380 kati ya Saudia na Marekani, Mfalme Salman amvisha Trump mkufu wa dhahabu na kucheza naye dansi ya kijahilia

    Makubaliano ya dola bilioni 380 kati ya Saudia na Marekani, Mfalme Salman amvisha Trump mkufu wa dhahabu na kucheza naye dansi ya kijahilia

    May 21, 2017 00:12

    Viongozi wa Saudi Arabia na Marekani wamesaini makubaliano kadhaa katika nyanja mbalimbali yakiwemo masuala ya kijeshi, yenye thamani ya dola bilioni 380, sambamba na mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud kumvisha Trump mkufu wa dhahabu wenye gharama kubwa na kucheza naye mziki wa dansi ya kijahilia.

  • Mshauri wa zamani wa Trump akaidi kutoa ushirikiano kwa Seneti ya Marekani

    Mshauri wa zamani wa Trump akaidi kutoa ushirikiano kwa Seneti ya Marekani

    May 19, 2017 23:30

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Rais Donald Trump wa Marekani amekaidi kutoa ushirikiano kwa kamati ya usalama ya Seneti ya nchi hiyo inayochunguza kuhusu mawasiliano ambayo yanadaiwa kufanywa baina ya timu ya kampeni ya Trump na Russia.

  • Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri

    Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri

    May 17, 2017 23:57

    Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.

  • Trump atuhumiwa kuzuia uchunguzi wa FBI

    Trump atuhumiwa kuzuia uchunguzi wa FBI

    May 17, 2017 09:04

    Rais Donald Trump wa Marekani anatuhumiwa kujaribu kuzuia uchunguzi wa Idara ya Upelelezi ya nchi hiyo FBI kuhusiana na faili lililozua utata na mjadala mkubwa nchini humo kuhusiana na madai ya uagiliaji wa Russia katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS