-
Donald Trump, Mohammad Bin Salman ni watu hatari zaidi duniani
May 13, 2017 23:00Gazeti la Independent la Uingereza limeandika kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani na Mohamad bin Salman, Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ni watu wawili hatari zaidi duniani.
-
Wamarekani wamkosoa Rais Trump kwa mapokezi aliyompa Lavrov Ikulu ya White House
May 12, 2017 11:45Serikali ya Marekani imekumbwa na changamoto mpya kufuatia kuenea picha za Rais Donald Trump wa nchi hiyo akimkaribisha kwa hadhi Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov katika ikulu ya White House.
-
Mahakimu wa Mahakama ya Rufaa Marekani waitilia shaka amri ya Trump dhidi ya wahajiri
May 09, 2017 03:41Mahakimu wa Mahakama ya Rufaa nchini Marekani wameitilia shaka amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya wahajiri.
-
Wamarekani wengi wanapinga sera za Trump dhidi ya Iran
May 07, 2017 23:04Uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni umeonyesha kuwa zaidi ya asilimia 40 ya Wamarekani wanapinga sera za Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Mogherini kuwa kudhoofika nafasi ya Marekani duniani ni fursa kwa Umoja wa Ulaya
May 06, 2017 22:07Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya EU, Federica Mogherini, Ijumaa alitangaza kuwa nafasi ya Marekani duniani inadhoofika na kwamba jambo hilo ni kwa maslahi ya umoja huo.
-
Kanali nne kubwa nchini Marekani zasusa kurusha matangazo ya mafanikio ya Trump
May 06, 2017 08:58Kanali nne kubwa za televisheni nchini Marekani za NBC, CNN, ABC na CBC zimekataa kurusha matangazo yoyote ya mafanikio ya siku 100 za utwala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Marekani yaihakikishia ushindi Israel katika mazungumzo na Waarabu
May 03, 2017 21:50Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa Marekani ameuhakikishia ushindi utawala wa Kizayuni na kuutaka usiwe na wasiwasi kuhusu uungaji mkono wa Washington kwa Israel katika mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati. Ikumbukwe kuwa Marekani ndiye mpatanishi katika mazungumzo ya utawala wa Kizayuni na Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Trump: Nipo tayari kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini
May 02, 2017 03:58Huku mgogoro ukiendelea kushtadi kati ya Marekani na Korea Kaskazini, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, yupo tayari kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un.
-
Trump akariri msimamo wake dhidi ya mapatano ya nyuklia ya Iran
Apr 30, 2017 02:55Rais Donald Trump wa Marekani amekariri msimamo wake wa huko nyuma dhidi ya mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Noam Chomsky: Trump amevaa mkanda wa kuiangamiza dunia
Apr 29, 2017 22:00Noam Chomsky, mwanafalsafa na mtaalamu mkubwa wa lugha nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump imekusudia kwa dhati kuiangamiza dunia.