-
Noam Chomsky: Trump amevaa mkanda wa kuiangamiza dunia
Apr 29, 2017 22:00Noam Chomsky, mwanafalsafa na mtaalamu mkubwa wa lugha nchini Marekani amesema kuwa, serikali ya Rais Donald Trump imekusudia kwa dhati kuiangamiza dunia.
-
Obama kuhutubia kuhusu mpango wake wa bima ya afya kwa ujira wa dola laki nne
Apr 26, 2017 03:21Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama atapokea donge nono la fedha kwa hotuba yake ya kwanza atakayotoa kwa malipo katika mkutano wa huduma ya afya utakaofanyika mwezi Septemba mwaka huu.
-
Utafiti: 42% ya Wamarekani hawana imani na serikali ya Trump
Apr 23, 2017 09:37Utafiti mpya umeonyesha kuwa asilimia 42 ya wananchi wa Marekani wamepoteza imani na uongozi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika kipindi cha siku 100 za kwanza ofisini.
-
Trump aamuru kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA
Apr 19, 2017 02:47Rais Donald Trump wa Marekani ameiagiza kamisheni ya usalama wa taifa ya nchi hiyo kuangalia upya makubaliano kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Ghasia katika maandamano ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump huko California
Apr 16, 2017 11:22Ghasia zimeibuka katika maandamano baina ya wapinzani na wafuasi wa Rais Donald Trump wa Marekani katika jimbo la California.
-
Mgombea urais Ufaransa: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai
Apr 10, 2017 02:39Mgombea urais wa Ufaransa kwa tiketi ya chama cha mrengo wa kushoto amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa siku chache zilizopita na Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai na kisicho cha kuwajibuka na kwamba Rais wa nchi hiyo, Donald Trump amefanya makosa makubwa.
-
Daesh yasema Marekani inaongozwa na rais mpumbavu
Apr 05, 2017 03:03Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ISIS limesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ni mtawala mpumbavu ambaye kwa mikono yake ataitumbukiza nchi hiyo katika maangamivu makubwa.
-
Huwenda Trump akapandishwa kizimbani nchini Marekani
Apr 02, 2017 11:35Jaji mmoja wa Mahakama ya Shirikisho ya jimbo la Kentucky la nchini Marekani amemtuhumu Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuwa alichochea machafuko wakati wa kampeni za uchaguzi.
-
Uhusiano wa kifedha wa mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani na Russia wafichuka
Apr 02, 2017 09:49Ikulu ya Marekani White House imetoa nyaraka mpya zinazoonesha kuwa mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa nchi hiyo alikuwa anapokea fedha kutoka Russia.
-
HRW: US kushadidisha hujuma zake za anga Somalia kunahatarisha usalama wa raia
Apr 02, 2017 03:42Hatua ya Marekani ya kuidhinisha kushadidishwa mashambulizi yake ya anga dhidi ya ngome za kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia imekosolewa vikali na asasi za kutetea za haki za binadamu.