Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Al-Abadi asisitiza kukaribia ushindi dhidi ya ISIS nchini Iraq, Trump ajikosha

    Mar 30, 2017 23:33

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa ushindi dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh unakaribia.

  • Trump aghairi kuiweka Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Trump aghairi kuiweka Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Mar 28, 2017 22:25

    Rais wa Marekani ameghairi uamuzi wake wa awali wa kuiweka harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri kwenye orodha ya makundi ya kigaidi.

  • Seneta Feinstein: Kuna uwezekano mkubwa Donald Trump atajiuzulu mwenyewe

    Seneta Feinstein: Kuna uwezekano mkubwa Donald Trump atajiuzulu mwenyewe

    Mar 21, 2017 10:05

    Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani amefichua kwamba, kuna uwezekano mkubwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo atajiuzulu.

  • Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama

    Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama

    Mar 20, 2017 23:46

    Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya Gallup nchini Marekani imetangaza kuwa uungaji mkono wa wananchi kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump unaendelea kupungua sambamba na kuendelea kuibuka kashfa zinazohusiana na sakata la kuwepo mawasiliano kati ya timu yake ya kampeni na Russia katika kipindi cha kampeni za uchaguzi uliopita na vilevile kuhusu madai yake ya kudukuliwa mazungumzo yake ya simu na mtangulizi wake Barack Obama.

  • Utafiti: Vijana wengi Marekani wanasema Trump si rais halali

    Utafiti: Vijana wengi Marekani wanasema Trump si rais halali

    Mar 19, 2017 03:48

    Utafiti unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya vijana wa Marekani wanamtazama Donald Trump kama rais ambaye si halali, mpuuzi na asiyekuwa na haiba ya uongozi.

  • Seneta na meneja wa kampeni wa Trump afumaniwa akifanya ukahaba, atakiwa ajiuzulu

    Seneta na meneja wa kampeni wa Trump afumaniwa akifanya ukahaba, atakiwa ajiuzulu

    Mar 18, 2017 13:04

    Viongozi mbalimbali wa serikali ya Marekani wametaka Seneta Ralph Shortey wa jimbo la Oklahoma ajiuzulu baada ya kufumaniwa akifanya ukahaba na mtoto mdogo mvulana mwenye umri wa miaka 17.

  • Mazungumzo yasiyo na natija kati ya Merkel na Trump

    Mazungumzo yasiyo na natija kati ya Merkel na Trump

    Mar 18, 2017 08:58

    Rais Donald Trump wa Marekani na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel jana alasiri Machi 17 walifanya mazungumzo katika ikulu ya Rais wa Marekani (White House). Mazungumzo hayo yameshindwa kupunguza hitilafu za pande mbili katika masuala ya uchumi, usalama, siasa na jamii kutokana na viongozi wa Ujerumani na Marekani kushikilia misimamo yao ya huko nyuma.

  • Radiamali ya Iran kwa madai ya 'kipuuzi' ya Mwana Mfalme wa Saudia alipokutana na Trump

    Radiamali ya Iran kwa madai ya 'kipuuzi' ya Mwana Mfalme wa Saudia alipokutana na Trump

    Mar 18, 2017 04:04

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Riyadh na kuyataja kama ya kipuuzi na yasiyokuwa na msingi matamshi dhidi ya Tehran yaliyotolewa na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House hivi karibuni.

  • Pigo jingine kwa Trump baada ya agizo lake dhidi ya Waislamu kupingwa mahakamani

    Pigo jingine kwa Trump baada ya agizo lake dhidi ya Waislamu kupingwa mahakamani

    Mar 16, 2017 11:05

    Majaji wawili wa Mahakama ya Federali ya Marekani wamepinga sheria ya kuwazuia raia wa nchi sita za Kiislamu kuingia nchini humo, iliyotiwa saini na Rais Donald Trump hivi karibuni.

  • Sanders: Trump ataitumbukiza Marekani katika utawala wa kiimla

    Sanders: Trump ataitumbukiza Marekani katika utawala wa kiimla

    Mar 12, 2017 04:22

    Aliyekuwa mgombea tiketi ya kukiwakilisha chama cha Democrati katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka jana 2016, Bernie Sanders ameonya kuwa Rais Donald Trump ataitumbukiza nchi hiyo katika utawala wa kidikteta na kiimla.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS