Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Wanasheria wakuu wa majimbo ya Marekani waendelea kupinga agizo jipya la Trump dhidi ya Waislamu

    Wanasheria wakuu wa majimbo ya Marekani waendelea kupinga agizo jipya la Trump dhidi ya Waislamu

    Mar 11, 2017 23:29

    Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Maryland amejiunga na wenzake wa majimbo ya Washington, Hawaii, New York, Oregan na Massachusetts kupinga agizo lililotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya wahajiri wa Kiislamu.

  • Chuki zaongezeka Marekani baada ya kuchaguliwa Trump

    Chuki zaongezeka Marekani baada ya kuchaguliwa Trump

    Mar 10, 2017 04:09

    Wamarekani waliowengi wanaamini kuwa kiwango cha chuki kimeongezeka nchini humo baada ya kuchaguliwa Donald Trump kama rais.

  • Majimbo kadhaa Marekani yachukua hatua kuzuia marufuku mpya ya Trump dhidi ya Waislamu

    Majimbo kadhaa Marekani yachukua hatua kuzuia marufuku mpya ya Trump dhidi ya Waislamu

    Mar 10, 2017 00:42

    Amri mpya iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani ya kupiga marufuku raia wa nchi sita za Waislamu kuingia nchini humo imeendelea kupingwa kisheria na majimbo ya nchi hiyo baada ya Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Washington kuungana na jimbo la Hawaii kuchukua hatua ya kuzuia utekelezaji wake.

  • Hawaii yaenda kotini kupinga sheria ya kibaguzi ya Trump

    Hawaii yaenda kotini kupinga sheria ya kibaguzi ya Trump

    Mar 09, 2017 12:58

    Jimbo la Hawaii nchini Marekani limepeleka faili la kesi mahakamani kupinga sheria mpya ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo iliyo dhidi ya Waislamu.

  • UNHCR yaonyesha wasiwasi kuhusu sheria mpya za Marekani

    UNHCR yaonyesha wasiwasi kuhusu sheria mpya za Marekani

    Mar 08, 2017 12:37

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR Filippo Grandi ameeleza wasiwasi wake juu ya dikrii ya rais Donald Trump wa Marekani kuhusu raia wa nchi sita za Kiislamu.

  • Sheria mpya ya Trump dhidi ya Waislamu yalaaniwa kote duniani

    Sheria mpya ya Trump dhidi ya Waislamu yalaaniwa kote duniani

    Mar 07, 2017 03:44

    Sheria mpya ya kibaguzi ya Donald Trump, Rais wa Marekani, inakabiliwa na wimbi la lalama na ukosoaji kutoka kila upande, ndani na nje ya nchi.

  • Trump asema Obama anaongoza maandamano, uvujaji siri

    Trump asema Obama anaongoza maandamano, uvujaji siri

    Feb 28, 2017 12:42

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema mtangulizi wake, Barack Obama, ndiye binafsi anayesimamia uvujishaji wa sira za serikali na maandamano dhidi yake yanayoendelea kote katika nchi hiyo.

  • Trump: Marekani inapaswa kuwa mbele katika uwanja wa silaha za nyuklia

    Trump: Marekani inapaswa kuwa mbele katika uwanja wa silaha za nyuklia

    Feb 24, 2017 01:21

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayogongana akitoa wito wa kuzuiwa uenezaji wa silaha za nyuklia na wakati huo huo akisisitiza kuwa, Washington daima inapaswa kuwa na maghala makubwa zaidi ya silaha za nyuklia kuliko nchi nyingine zote duniani.

  • Democrats: Tutaanzisha mchakato wa kumg'oa madarakani Trump

    Democrats: Tutaanzisha mchakato wa kumg'oa madarakani Trump

    Feb 23, 2017 11:00

    Wabunge na wanasiasa wa chama cha Democrat nchini Marekani wanasema mienendo ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump katika muda wa wiki tatu zilizopita imeibua uwezekano kuanzishwa mchakato wa kumng'oa mamlakani rais huyo.

  • Afisa mwandamizi wa Marekani atimuliwa kwa kumkosoa Trump

    Afisa mwandamizi wa Marekani atimuliwa kwa kumkosoa Trump

    Feb 21, 2017 03:57

    Craig Deare, afisa mwandamizi katika serikali ya Marekani ametimuliwa kwa kukosoa sera za Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS