-
Kuendelea maandamano ya Wamexico dhidi ya pendekezo la Trump
Feb 19, 2017 03:01Maelfu ya raia wa Mexico wamefanya maandamano makubwa katika kulalamikia mpango wa ujenzi wa ukuta wa Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Barret: Matamshi ya Trump dhidi ya Iran, dhihirisho kuwa ni punguani
Feb 16, 2017 04:03Mchanganuzi wa masuala ya siasa na mwandishi wa habari wa Marekani amesema matamshi ya kukinzana yanayotolewa mara kwa mara na Rais wa Marekani Donald Trump na hususan matamshi aliyoyatoa hivi karibuni dhidi ya Iran yanadhihirisha kuwa bilionea huyo ana matatizo ya kiakili.
-
Eurasia Group: Donald Trump, hatari kubwa zaidi ya dunia mwaka 2017
Feb 14, 2017 23:29Taasisi ya Eurasia Group imetangaza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ndiyo hatari kubwa zaidi kwa usalama na amani ya dunia.
-
IAEA: Hatujapokea taarifa yoyote kutoka Marekani kuhusu JCPOA
Feb 14, 2017 10:50Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Yukia Amano, amesema taasisi hiyo haijapokea taarifa wala kufanya mawasiliano yoyote na Marekani kuhusu msimamo wa Washington juu ya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Rais mteule wa Ujerumaini: Trump ni mshirika mkorofi
Feb 13, 2017 12:37Rais mteule wa Ujerumani ametoa matamshi makali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema kuwa ni rafiki mkorofi anayeeneza chuki ulimwenguni.
-
Trump aanza kuchoshwa na kazi White House
Feb 11, 2017 23:29Rais Donald Trump wa Marekani ameanza kuchoshwa na uzito wa uendeshaji mambo katika Ikulu ya White House ikiwa ni wiki tatu tu tokea aapishwe.
-
Russia: Hakutubaliani na serikali ya Trump kwamba Iran ni 'dola la kigaidi'
Feb 06, 2017 11:50Russia imesema haikubaliani na mtazamo wa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani wa kuielezea Iran kuwa ni "dola la kigaidi".
-
Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu
Feb 05, 2017 23:12Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari ya tetesi iliyoenea katika baadhi ya vyombo vya habari kwamba nchi hiyo imepiga marufuku raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Mahakama ya Rufaa ya Marekani yakataa ombi la White House dhidi ya Waislamu
Feb 05, 2017 10:58Mahakama ya Rufaa ya Marekani imekataa ombi la Ikulu ya Rais wa nchi hiyo la kudumishwa marufuku ya kuingia raia wa nchi za Kiislamu nchini Marekani.
-
Mawaziri wa Trump wakaidi amri yake ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini huo
Feb 05, 2017 03:50Wizara za mambo ya nje na mambo ya ndani nchini Marekani zimetangaza rasmi kukaidi amri ya rais wa nchi hiyo kuwazuia raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini humo.