-
Jaji nchini Marekani azuia kutekelezwa nchi nzima marufuku iliyowekwa na Trump
Feb 04, 2017 04:03Jaji wa Mahakama ya Federali katika wilaya ya Seattle jimboni Washington nchini Marekani ametoa amri ya muda ya kusimamishwa nchi nzima utekelezaji wa marufuku yenye utata ya kuingia nchini humo iliyowekwa na rais Donald Trump dhidi ya raia wa nchi saba za Kiislamu, japokuwa tayari serikali yake imetangaza kuwa itakata rufaa ya dharura dhidi ya uamuzi huo kupitia idara yake ya sheria.
-
Madai ya Trump kuhusu kuanza sera mpya za kigeni za Marekani
Feb 02, 2017 08:18Rais Donald Trump wa Marekani, akizungumza katika sherehe za kuapishwa Rex W. Tillerson kama waziri mpya wa mambo ya nje wa nchi hiyo, amesema wakati umefika kwa sera za kigeni kusimamiwa na mtu mwenye macho ya wazi ili aweze kuutazama ulimwengu kwa macho mapya kwa lengo la usuluhishaji wenye kuzingatia ukweli wa kale.
-
UN, EU, Vatican zakasirishwa na sheria ya ubaguzi ya Trump
Feb 02, 2017 04:02Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Vatican zimelaani sheria tata ya ubaguzi ya Rais Donald Trump wa Marekani, ya kuzuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Trump atishia kuwa Marekani itaishambulia kijeshi Mexico
Feb 02, 2017 03:52Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kutuma vikosi vya jeshi la nchi hiyo nchini Mexico.
-
Mexico wasusia bidhaa za Marekani, wamlaani Donald Trump
Feb 01, 2017 23:21Wananchi wa Mexico wameamua kuonesha hasira zao kupitia kususia bidhaa za Marekani ikiwa ni kulalamikia matamshi ya hivi karibuni ya Donald Trump, rais wa nchi hiyo ya kibeberu.
-
Maandamano dhidi ya ubaguzi wa Trump yapamba moto US
Feb 01, 2017 04:19Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni.
-
Iran kuitupa sarafu ya dola baada ya maamuzi ya kibaguzi ya Trump
Feb 01, 2017 00:51Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inapanga kuacha kutumia sarafu ya dola katika taarifa rasmi za kifedha kufuatia hatua ya wakuu wa Washington kuiweka nchi hii katika orodha ya nchi saba ambazo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani.
-
Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump
Feb 01, 2017 00:50Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyetekeleza mauaji dhidi ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada siku chache zilizopita ni mtu mwenye misimamo ya mrengo wa kulia na mfuasi sugu wa Donald Trump, Rais wa Marekani.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya Trump inakiuka sheria za kimataifa
Jan 31, 2017 00:39Kamisheni Kuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, amri iliyotiwa saini na Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini Marekani ni kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini
Jan 31, 2017 00:39Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.