-
Saini zaidi ya milioni moja zakusanywa ili kuzuia safari ya Trump Uingereza
Jan 30, 2017 11:45Watu zaidi ya milioni moja nchini Uingereza wamesaini ombi la malalamiko wakiitaka serikali ya nchi hiyo kufuta mwaliko wa Rais Donald Trump wa Marekani kwenda London kwa ajili ya kuonana na Malkia Elizabeth wa nchi hiyo.
-
Arab League, Iraq zalaani ubaguzi wa Trump dhidi ya Waislamu
Jan 30, 2017 04:02Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeeleza wasi wasi wake mkubwa juu ya hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.
-
Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Jan 29, 2017 10:15Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.
-
Rais wa Ufaransa amtaka Trump aheshimu JCPOA
Jan 29, 2017 10:21Rais wa Ufaransa amemtaka Rais mpya wa Marekani aheshimu makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 yaliyosainiwa huko Vienna nchini Austria Julai mwaka 2015.
-
Jaji nchini Marekani azuia kutekelezwa amri ya Trump ya kuwarejesha makwao raia wa kigeni wenye viza
Jan 29, 2017 04:26Jaji wa Mahakama ya Federali nchini Marekani ametoa hukumu ya dharura ya kuzuia kurejeshwa makwao wasafiri wenye viza za kuingia nchini humo wanaozuiliwa kwenye viwanja vya ndege ili kutekeleza amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Hatua mpya ya Trump dhidi ya Waislamu
Jan 29, 2017 00:21Kwa mujibu wa amri iliyotiwa saini na Rais Donald Trump wa Marekani chini ya anwani ya kulinda taifa mbele ya kuingia magaidi wa kigeni katika ardhi ya Marekani, ni marufuku kutolewa viza za kuingia Marekani kwa raia wa nchi ambazo eti zina madhara kwa maslahi ya Marekani kwa kipindi cha siku 90.
-
Iran: Sera za kibaguzi za Trump zimeirejesha Marekani katika karne za kati
Jan 28, 2017 04:16Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia viza za kuingia Waislamu wakiwemo Wairani katika ardhi ya Marekani ni kielelezo kwamba nchi hiyo imerejea katika zama za karne za kati, kwenye sera za kibaguzi na chuki za kidini na kikaumu.
-
Trump asaini amri ya kupiga marufuku Waislamu kuingia Marekani
Jan 28, 2017 00:49Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo ambapo hivi sasa kutakuwa na vizingiti kwa wahamiaji na wakimbizi kwa lengo la kuwazuia watu aliowataja kuwa, 'magaidi wa Kiislamu wenye misimamo mikali' kuingia katika nchi hiyo.
-
Mfuasi wa Trump amshambulia mwanamke Mwislamu New York
Jan 27, 2017 23:18Katika tukio jingine linalothibitisha kuwa uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani, mfuasi wa Rais mpya wa nchi hiyo Donald Trump kutoka Massachusetts amemshambulia na kumjeruhi mwanamke Mwislamu katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa John F. Kennedy mjini New York.
-
Wamarekani waendeleza maandamo dhidi ya Trump licha ya onyo kali la serikali dhidi yao
Jan 26, 2017 03:56Mamia ya wakazi wa jiji la New York Marekani wamemiminika mabarabarani katika kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua za rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.