-
Trump kuweka marufuku ya muda kwa wahajiri wa Kiirani na nchi nyingine sita
Jan 25, 2017 04:01Duru za kuaminika zimeripoti kuwa Rais Donald Trump wa Marekani atasaini dikrii ya kupiga marufuku kwa muda kuingia nchini humo wahajiri kutoka Iran na nchi nyingine sita.
-
Glenn: Huenda Israel itafanya njama za kuuawa Trump wa US
Jan 24, 2017 04:45Mark Glenn, mchambuzi mashuhuri wa kisiasa nchini Marekani amesema yumkini serikali ya Washington ikapanga njama za kuuawa Rais mpya wa Marekani Donald Trump, iwapo hatasimamia maslahi ya Wazayuni.
-
Steinmeier: Kuingia Trump White House ni sawa na kufikia tamati 'Nidhamu ya Dunia'
Jan 23, 2017 05:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, kwa kuingia Donald Trump katika Ikulu ya Marekani, White House nidhamu ya dunia ya karne ya 20 "imemalizika moja kwa moja" na hali ya mchafukoge ndiyo inayofuatia.
-
Mpambano wa mapema baina ya Trump na vyombo vya habari
Jan 23, 2017 04:41Rais mpya wa Marekani na timu yake wameanza vita na mpambano na vyombo vya habari katika siku hizi za mwanzoni kabisa mwa kushika hatamu za uongozi wa nchi hiyo.
-
11 wauawa Nigeria kwa kushiriki maandamano ya kumuunga mkono Trump
Jan 21, 2017 04:33Wanachama 11 wa harakati ya Biafra nchini Nigeria wanaripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika maandamano yaliyofanyika kusini mashariki mwa nchi.
-
Wamarekani waandamana kumpinga Trump siku ya kuapishwa kwake
Jan 20, 2017 03:58Maelfu ya watu wameadamana katika miji ya New York na Washington nchini Marekani kumpinga Donald Trump ambaye leo anaapishwa kuwa rais wa Marekani.
-
Ulaya: Trump weka wazi siasa zako za masuala ya kigeni
Jan 20, 2017 03:15Waziri wa Ulinzi wa Ujerumini, Ursula Gertrud von der Leyen amemtaka Donald Trump, rais mteule wa Marekani aweke wazi siasa zake za mambo ya kigeni hasa baada ya kujitokeza matamshi ya kugongana baina ya viongozi wa serikali ijayo ya Marekani kuhusu Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi, NATO.
-
Iran: Iwapo Trump ataachana na JCPOA atashangazwa mwenyewe
Jan 18, 2017 13:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, iwapo rais mteule wa Marekani ataamua kuachana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, hatua hiyo itamduwaza na kumuweka kinywa wazi yeye mwenyewe.
-
Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO
Jan 16, 2017 23:33Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo inaafiki mtazamo wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umepitwa na wakati.
-
Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan
Jan 16, 2017 03:03Rais mteule wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.