-
HRW: Donald Trump ni tishio kwa haki za binadamu
Jan 13, 2017 04:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuchaguliwa Donald Trump kuwa Rais wa Marekani ni tishio lisilo na mfano kwa haki za binadamu.
-
Matamshi ya Ujuba ya Waziri Mambo ya Nje wa Trump kuhusu Iran na JCPOA
Jan 12, 2017 01:23Rex Tillerson ambaye ni chaguo la Donald Trump rais mteule wa Marekani kuchukua Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo amesema iwapo ataidhinishwa kuchukua wadhifa huo, basi atapendekeza kuangaliwa upya mapatano ya nyuklia ya Iran.
-
Askari wastaafu wamtahadharisha Trump kuhusu mateso na unyanyasaji
Jan 12, 2017 00:17Maafisa waliostaafu wa jeshi la Marekani wamemtaka rais mteule wa nchi hiyo azuie kurejeshwa sheria ya kuwatesa wadhaniwa wa mashambulizi ya kigaidi.
-
Kuendelea mjadala wa kisiasa nchini Marekani kuhusiana na Russia
Jan 05, 2017 09:36Suala la kuwepo uwezekano wa kuhusika Russia katika udukuzi wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliomalizika hivi karibuni nchini Marekani umeibua mjadapa mkubwa wa kisiasa nchini humo.
-
Trump amuonya Obama dhidi ya kuwahamisha wafungwa wa Gitmo
Jan 04, 2017 03:55Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemuonya rais anayeondoka wa nchi hiyo Barack Obama juu ya kuwahamisha wafungwa wa jela ya Guantanamo iliyoko nchini Cuba.
-
Gallup: Wamarekani wanashuku uwezo wa Trump wa kutekeleza majukumu yake
Jan 03, 2017 01:13Wamarekani waliowengi wana shaka kuhusu uwezo wa rais mteule wa nchi hiyo wa kutekeleza majukumu yake.
-
Trump amshukuru Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani
Dec 31, 2016 03:32Donald Trump, Rais mteule wa Marekani jana Ijumaa kupitia ujumbe wa Twitter alimshukuru Rais Vladimir Putin wa Russia kwa kutolipiza kisasi kitendo cha kufukuzwa wanadiplomasia wa nchini hiyo huko Marekani ambacho kilichukuliwa na serikali ya Washington siku ya Alkhamisi, na kusema kuwa daima amekuwa akimtambua Putin kuwa ni kiongozi anayetumia busara.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo
Dec 30, 2016 11:52Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Kushadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump na Rais Obama
Dec 29, 2016 07:33Sambamba na kukaribia siku ya kuapishwa rais mpya wa Marekani yaani tarehe 20 ya mwezi ujao wa Januari kumeshadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump Rais mteule wa Marekani na Barack Obama rais wa nchi hiyo anayemaliza muda wake wa uongozi.
-
Wamarekani waandamana dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu silaha za nyuklia
Dec 27, 2016 11:13Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa New York wakikosoa wito uliotolewa hivi karibuni na Rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump wa kutaka kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa nchi hiyo.