Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani

    Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani

    Dec 24, 2016 03:59

    Rais mteule wa Marekani, Donald Trump Alkhamisi ya jana alitangaza kuwa, nchi hiyo inapaswa kuimarisha zaidi uwezo wake wa silaha za nyuklia maadamu ulimwengu haujapata mwelekeo wa kimantiki kuhusu silaha za atomiki.

  • Trump aishurutisha Misri kuakhirisha azimio la UN dhidi ya Israel

    Trump aishurutisha Misri kuakhirisha azimio la UN dhidi ya Israel

    Dec 23, 2016 12:54

    Rais mteule wa Marekani amempigia simu Rais wa Misri na kuitaka Cairo iakhihirshe uwasilishaji wa rasimu ya azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

  • Trump ataka azimio la UN dhidi ya Israel lipigiwe kura ya veto

    Trump ataka azimio la UN dhidi ya Israel lipigiwe kura ya veto

    Dec 22, 2016 11:47

    Rais mteule wa Marekani ametaka kupigiwa kura ya turufu azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya siasa za kibaguzi za Trump, Siku ya Kimataifa ya Wahajiri

    Wamarekani waandamana dhidi ya siasa za kibaguzi za Trump, Siku ya Kimataifa ya Wahajiri

    Dec 19, 2016 01:56

    Wananchi wa Marekani walifanya maandamano makubwa jana katika Siku ya Kimataifa ya Wahajiri dhidi ya sera na siasa za kibaguzi za rais mteule wa nchi hiyo zinazopiga vita wahamiaji.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya siasa za kibaguzi za Trump, Siku ya Kimataifa ya Wahajiri

    Wamarekani waandamana dhidi ya siasa za kibaguzi za Trump, Siku ya Kimataifa ya Wahajiri

    Dec 19, 2016 01:19

    Wananchi wa Marekani walifanya maandamano makubwa jana katika Siku ya Kimataifa ya Wahajiri dhidi ya sera na siasa za kibaguzi za rais mteule wa nchi hiyo zinazopiga vita wahamiaji.

  • PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu

    PLO yaionya Marekani kuhusu kuhamishia ubalozi Quds Tukufu

    Dec 17, 2016 04:24

    Afisa wa ngazi za juu katika Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Qud Tukufu.

  • Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA

    Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA

    Dec 17, 2016 03:43

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametaka kuwepo na msimamo mmoja baina ya umoja huo na Russia katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wa makubaliano hayo.

  • Trump ateua Mzayuni mwenye misimamo mikali kuwa balozi wa US, Israel

    Trump ateua Mzayuni mwenye misimamo mikali kuwa balozi wa US, Israel

    Dec 16, 2016 04:47

    Rais mteule wa Marekani ameteua David Friedman, Mzayuni mwenye misimamo ya kuchupa mipaka kuwa balozi wa Marekani katika utawala haramu wa Israel.

  • Mayahudi wanaounga mkono Palestina waandamana New York mbele ya jumba la Trump

    Mayahudi wanaounga mkono Palestina waandamana New York mbele ya jumba la Trump

    Dec 16, 2016 00:38

    Kundi la Mayahudi wa Marekani limefanya maandamano mjini New York mbele ya jumba la rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump katika hatua za kuwatetea watu wa Palestina na kulaani jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya taifa hilo.

  • Makampuni makubwa ya teknolojia yakataa kushirikiana na Trump katika kuwajasisi Waislamu

    Makampuni makubwa ya teknolojia yakataa kushirikiana na Trump katika kuwajasisi Waislamu

    Dec 16, 2016 00:05

    Wafanyakazi wa makampuni makubwa ya teknolojia ya Marekani yamekataa kushiriki katika sera zinazopiga vita Uislamu na wahamiaji za rais mteule wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS