Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Barua ya wazi ya viongozi wa Kiislamu nchini Marekani kwa Donald Trump

    Dec 07, 2016 04:09

    Zaidi ya Waislamu 300 wa Marekani wameonyesha radiamali yao kwa matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu ya Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump.

  • Viongozi wa Waislamu Marekani wamwandikia barua ya wazi Trump

    Viongozi wa Waislamu Marekani wamwandikia barua ya wazi Trump

    Dec 06, 2016 12:13

    Shakhsia wapatao 300 wa Kiislamu nchini Marekani wamemwandikia barua ya wazi Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump likiwa ni jibu kwa matamshi ya chuki aliyotoa dhidi ya Uislamu.

  • Trump akengeuka sera ya Marekani kwa kufanya mazungumzo na Rais wa Taiwan

    Trump akengeuka sera ya Marekani kwa kufanya mazungumzo na Rais wa Taiwan

    Dec 03, 2016 04:19

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekengeuka sera ambayo nchi hiyo imekuwa ikifuata kwa miaka 37 sasa kwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Taiwan.

  • Wamarekani milioni 4.7 wawataka wajumbe wa majimbo watengue kura walizompa Trump

    Wamarekani milioni 4.7 wawataka wajumbe wa majimbo watengue kura walizompa Trump

    Dec 03, 2016 00:54

    Wamarekani wapatao milioni nne na laki saba wamesaini kupitia mtandao wa intaneti ujumbe wa ombi kwa wajumbe wa majimbo (Electoral College) la kuwataka watengue kura walizompigia rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump na kumuunga mkono mgombea aliyeshindwa wa chama cha Democrat, Hillary Clinton.

  • Trump ateua 'Jibwa Kichaa' kuwa Waziri wa Ulinzi Marekani

    Trump ateua 'Jibwa Kichaa' kuwa Waziri wa Ulinzi Marekani

    Dec 02, 2016 04:34

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemteua aliyekuwa Kamanda mwandamizi wa jeshi la Marekani Jenerali James Mattis kuwa Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo.

  • Kuongeza hujuma na jinai mbalimbali Marekani baada ya ushindi wa Trump

    Kuongeza hujuma na jinai mbalimbali Marekani baada ya ushindi wa Trump

    Nov 30, 2016 01:00

    Kundi moja la Kutetea Haki za Kiraia nchini Marekani limesema katika ripoti yake kuwa, hujuma na jinai mbalimbali ziliongezeka nchini humo humo siku kumi baada ya Donald Trump kutangazwa mshindi wa kiti cha urais.

  • Trump: Mshindi wa uchaguzi kwa kura za wananchi ni mimi

    Trump: Mshindi wa uchaguzi kwa kura za wananchi ni mimi

    Nov 28, 2016 04:18

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amesema matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo yamejumuisha pia kura zisizo halali na kwamba zikiwekwa kando kura hizo yeye ndiye mshindi wa uchaguzi huo.

  • Wanachuo China: Trump ataka kudhibiti siasa za eneo la bahari ya China Kusini

    Wanachuo China: Trump ataka kudhibiti siasa za eneo la bahari ya China Kusini

    Nov 26, 2016 04:24

    Wanachuo nchini China wamefanya maandamano kuonyesha hasira zao za kukosoa ushindi wa Donald Trump, rais mteule wa Marekeni na kudai kwamba ushindi wa mfanyabiashara huyo una maana ya kudhibitiwa eneo la bahari ya China Kusini.

  • Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi

    Hizbullah yasema Trump ni mtu mwenye chuki na ubaguzi

    Nov 23, 2016 04:35

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuchaguliwa mwanasiasa mwenye chuki na ubaguzi nchini Marekani kwa upande mmoja; na maandamano ya nchi nzima ya kulalamikia ushindi wa bilionea huyo kwa upande mwingine, ni dhihirisho kuwa nchi hiyo iko katika mgogoro mkubwa.

  • Putin amuunga mkono Trump kuhusiana na ustawi wa biashara

    Putin amuunga mkono Trump kuhusiana na ustawi wa biashara

    Nov 21, 2016 03:49

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani hatavuruga masuala yanayohusiana na ustawishaji wa biashara katika eneo la Bahari ya Pacific.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS