Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye

    Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye

    Nov 17, 2016 01:13

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, ikiwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani atapambana kwa dhati na magaidi, basi serikali yake itashirikiana naye.

  • Trump aonywa asiugeuze urais kuwa mali ya ukoo wake

    Trump aonywa asiugeuze urais kuwa mali ya ukoo wake

    Nov 16, 2016 04:17

    Taasisi moja ya kusimamia masuala ya maadili nchini Marekani imetoa onyo kali dhidi ya Donald Trump, rais mteule wa nchi hiyo na huku ikiashiria kuwa urais si mali ya ukoo, imemtaka aache kuwaingiza wanawawe katika siasa za Marekani.

  • Trump: Tutawafunga jela au kuwatimua wahajiri milioni 3

    Trump: Tutawafunga jela au kuwatimua wahajiri milioni 3

    Nov 14, 2016 04:31

    Hata kabla ya kuapishwa, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi, likiwemo suala la kuwatimua wahamiaji nchini humo.

  • Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel

    Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel

    Nov 12, 2016 04:30

    Siku tatu baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani, kumetolewa kauli kadhaa kuhusu namna Trump anavyoutazama usalama wa Israel.

  • Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif amuonya Trump asithubutu kukiuka mapatano ya nyuklia ya Iran

    Nov 12, 2016 01:13

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif ameonya kuwa iwapo rais mteule wa Marekani atakiuka mapatano ya nyuklia, basi Iran ina machaguo mengine ya kukabiliana na hali hiyo.

  • Hamas: Matokeo ya uchaguzi wa Marekani hayatabadili hali ya Mashariki ya Kati

    Hamas: Matokeo ya uchaguzi wa Marekani hayatabadili hali ya Mashariki ya Kati

    Nov 12, 2016 00:38

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika siku chache zilizopita nchini Marekani hayatakuwa na taathira chanya katika mgogoro wa Mashariki ya Kati.

  • Kremlin: Mtazamo wa Trump katika siasa za nje unafanana na wa Putin

    Kremlin: Mtazamo wa Trump katika siasa za nje unafanana na wa Putin

    Nov 11, 2016 04:36

    Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema mtazamo wa Rais wa Russia na Rais mteule wa Marekani katika sera za nje unafanana.

  • Radiamali ya viongozi wa Ulaya kuhusu ushindi wa Trump

    Radiamali ya viongozi wa Ulaya kuhusu ushindi wa Trump

    Nov 09, 2016 10:18

    Viongozi wa Ulaya wameonyesha radiamali zao kufuatia ushindi wa Donald Trump wa chama cha Republican katika uchaguzi wa Rais uliofanyika jana.

  • Mamillioni ya Wamarekani wanyimwa haki ya kupiga kura

    Mamillioni ya Wamarekani wanyimwa haki ya kupiga kura

    Nov 09, 2016 04:44

    Huku matokeo yasiyo rasmi ya uchaguzi wa rais Marekani yakionyesha kuwa Donald Trump wa chama cha Republican amepata ushindi dhidi ya mshindani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton, imebainika kuwa idadi kubwa ya Wamarekani wamenyimwa haki yao ya kupiga kura.

  • Wamarekani wenye hasira waandamana kuwapinga Clinton, Trump

    Wamarekani wenye hasira waandamana kuwapinga Clinton, Trump

    Nov 06, 2016 12:07

    Wananchi wenye hasira wa Marekani wamefanya maandamano katika mitaa ya Washington DC kuwapinga wagombea wawili wa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS